bene michael
Senior Member
- Mar 1, 2017
- 130
- 98
Hapo patamu kweli.
Mungu hamfichi mnafiki! Kama Rais Magufuli na Serikali yake watamwondoa Prof. Kabudi kwenye Orodha ya vyeti veyenye utata(Incomplete) basi zoezi hili lifutwe kabisa maana halina maana, limejaa upendeleo na unyanyasaji kwa watu wa chini tu. Serikali isitake kuwadanganya Watanzania kwa mwavuli wa Kisiasa.
Hivi huyu Kabudi Palamagamba asingelikuwa ameteuliwa kwenye Ubunge na baadaye kupewa Uwaziri ina maana Chuo Kikuu UDSM wangelikanusha kuwa sio sahihi kwa Prof kuwa kwenye orodha? Hii maana yake nini kuwafanya Mabashite au Wateule wa JPM kuwa ni magenius wanapoteuliwa???
Serikali ikiri kuwa zoezi hili kwa ujumla limepoteza mwelekeo, halina weledi, ni la kionevu, kibaguzi na linaenda kuligharimu Taifa mabilioni ya fedha kwa njia moja au nyingine.
Muda utanena.
As far as i remember, Kabudi; 1974, form 4 Tosamaganga, 1975/76, Tabora Boys, 76/77, JKT, afu vita uganda 1978...I might have mispresented or erred 1 year. miaka ile eti ufoji cheti uende form 5 was unheard of. Kuna problem ya classification na nomenclature ya ku present mapungufu. I am not sure kama objective ni uwezo wa muhusika kutunza vyeti? records si zinajieleza? WIZARANI, SHULENI. I am sure records za tosamaganga mpaka as early as 1974 zitakuwepo. Zoezi hili linataka uangalifu.