KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 4,991
- 4,809
Pia Prof. A. M. Maboko, Prof. Justinian Ikingura na wengineoKuna Gadi Koda, na Sarakikya ni vyema Mkandala angewatolea maelezo pia na hawa...
Pia Prof. A. M. Maboko, Prof. Justinian Ikingura na wengineoKuna Gadi Koda, na Sarakikya ni vyema Mkandala angewatolea maelezo pia na hawa...
Kama hana cheti ni tatizo la chuo au mtu binafsi? Iko Chuo kiache kuweweseka.
Probably hayo majina ya kati sio ya kwake.Hilo linaweza kuwa kweli, mara nyingi watu waliopitia njia hizo hawafanyi makosa kama wakibapata nafasi nyingine, huwa wanahakikisha hawafanyi makosa tena. Hebu angalia hata majina yake yalivyo mengi....Palamagamba Aidan John Mwalusambo Kabudi.
Ww kiazi kaa ulale huko kwenu ....hujui ulisemaloWe umeona yeye ndio bingwa peke ake je wengine sio mabingwa ?
Habari wanaJF,
Mamlaka za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) imesema taarifa za Waziri wa sheria Profesa Palamagama Kabudi kuwa na vyeti vyenye utata sio sahihi, imetawataka wale waliohusika kufanya uchunguzi na kuotoa orodha ya majina hayo waulizwe tatizo nini mpaka Mwalimu huyo nguli wa Sheria mwenye heshima kedekede akumbwe na kashfa hiyo.
Pia Makamu Mkuu wa chuo cha UDSM (Taaluma) Prof. Luoga ashangaa na yeye jina lake kutajwa katika orodha ya vyeti feki.
Profesa Kabudi aliwahi kuwa Dean wa Shule ya Sheria pale UDSM, Aidha kwa sasa Profesa Kabudi ni Waziri wa Katiba na Sheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hiki chuo pendwa si ndio kimemtunuku mtu piechidii feki ya maganda ya korosho.Kama hana cheti ni tatizo la chuo au mtu binafsi? Iko Chuo kiache kuweweseka.
Kwani wao wameshinswa vp kwenda necta na ku inquiry ...Alafu usiongelee kitu usichokijua bora ukae kimya...Ndiyo wajue profesa wao ni Bashite tu. Kipi kinachomshinda kwenda NECTA kuomba cheti chake cha O'level?
Kwani wao wameshinswa vp kwenda necta na ku inquiry ...Alafu usiongelee kitu usichokijua bora ukae kimya...