Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,562
- 11,083
Jichange ununue smartphone yenye kamera nzuri TECNO zinauzwa mpaka 5,000/= picha zimepigwa kama unakimbizwa....
Taarifa yako ni nzuri sana kwa ambao hawaijui udsm ipoje..ila kwa wanaoielewa kwa undani mkuu utakuwa kama unasimulia hadithi za Juma na Uledi...Habari za wakati huu wadau.
Huku Nikiamini katika uelewa wetu juu ya umuhimu na nafasi ya Chuo kikuu cha DSM katika nchi yetu.
Nimeona ni vema niwasilishe haya labda itasaidia kuboresha chuo chetu hiki na kukifanya kisimame tena hasa wakati huu ambapo kinaporomoka kielimu kwa kasi hatarishi.
Back to my aim,
1-Kwa nini chuo hakina library na maabara japo moja ya kisasa ya biotechnology, Chemistry ama Physics hadi Leo mwaka 2017? Wanafundishaje wanafunzi hapa? Products zinazotoka zipoje?? Kwenye international market zinafit vipi?
NB: asante wachina mnatujengea hii library, maana huenda hawa walimu wetu wasingegundua kama tunahitaji library.
2. nyie mnaohusika na hii website ya chuo, hivi hamuoni aibu??
Hamjifunzi hata vyuo vingine wanafanyaje?
Nini kinawakwamisha? Ukifungua website ukitaka kutafuta kozi za postgraduate unakutana na attachment (world document) imeorodhesha kozi zote za UDSM..
Sasa foreigner anajuaje course contents?
Sio mtaalamu wa haya mambo but it is disgusting kwa chuo kikubwa kama hiki,
Halafu hiyo picha ya mkuu wa chuo what for???? Tena hapa ni vyuo karibu vyote tz ukifungua websites unakutana na picha za wakuu wa vyuo? Who cares? Hebu tuwe serious. We can't market our education in this way.
3.
Mnafanyaje analysis ya mahitaji ya soko?
Wahitimu wenu mnatupimaje kama tunaendana na mahitaji ya jamii kwa wakati husika?
Vipi kwenye soko la kimataifa? Tunafit huko?
4. Mazingira na Miundombinu ya Chuo kwa ujumla.
Mimi nlidhani nikiingia chuoni walau nikute mazingira safi, yanatunzwa na majengo walau yana mwonekano wa chuo kikuu, ukizingatia hapa kuna wataalamu wa mazingira, mainjinia, botanists, zoologists, economists, na wataalamu wa kila aina,
Na jamii kwa ujumla ichukulie UDSM kama sehemu pa mfano wa Kuigwa. Sio mahala pachafu kama palivyo sasa.
UDSM pamoja na kuwa na uoto mzuri wa asili, mazingira haya hutunzwa na mvua za msimu na hata majengo ya chuo yamechoka mithiri ya mabanda ya kufugia ng'ombe ya SUA.
Jamani pakeni rangi japo hilo jengo la utawala,
Au mnasubiri tena Magufuli awaambie mpake kama alivyowaambia mjenge hostel??
Be proactive aisee, or pisheni wakae wengine.
Tizama haya majengo ya chuo kikubwa nchini
Hili la kwanza ni jengo la utawala, Lina minara juu utadhani jengo la Jeshi la kdf, sijui tigo wamefunga mitambo yao huko juu.. I don't know.
View attachment 473913
View attachment 473915View attachment 473916
Meanwhile, vyuo Vingine vya Hadhi ya UDSM
Makerere University-UG
View attachment 473924
View attachment 473917
Cairo University -Egypt
View attachment 473918
University of KwaZulu Natal-SA
View attachment 473919
University of Cape town -SA
View attachment 473920View attachment 473921
NB, UDSM pesa sio shida kwao.
Wala Human resource sio Tatizo .
Hivyo sioni sababu yoyote ya msingi kwa UDSM kutokuwa level za Pretoria University.
.... Hiyo library nipo aware nayo, ni hatua nzuri. Sasa tupo 2017, Ni vizuri kuwa na plans, unfortunately people are only interested with results, neither your plans.
Na kwa Ujumla chuo kinaporomoka, juhudi za makusudi zinahitajika !
Hata sisi hatutaki kujua undani wowote, tunataka kujua baadhi ya mambo tu ya kawaida kama vile Maabara, hapa najua wanafunzi wa MBB hukaririshwa theory pure, hawafanyi probing, wala sequencing, wala cloning. Sijui kama tunaongea lugha moja.Taarifa yako ni nzuri sana kwa ambao hawaijui udsm ipoje..ila kwa wanaoielewa kwa undani mkuu utakuwa kama unasimulia hadithi za Juma na Uledi...
Pathetic,Tatizo la mwandishi viroba vinamsumbua, Tumia akili chuo kilijengwa lini na kipindi hicho miaka hiyo hayo majengo kwa Dar yalikuwa the best, huwezi bomoa kila kumbukumbu ili uendane na technology mpya, Ungeshauri wajenge Campus mpya zingine sio hayo mawazo ya viroba
Piga za kwako kwa hyo smartphone nzur ya kwako utupie hapaJichange ununue smartphone yenye kamera nzuri TECNO zinauzwa mpaka 5,000/= picha zimepigwa kama unakimbizwa....
Mkuu hongera kwa mleta Uzi.Tatizo la watanzania hatukubali ukweli maana tumejaa mahaba ya kitu kuliko kuusema ukweli.badala ya kusaidia ili ukweli ujulikane wao wamejikita kusifia na kumkosoa mleta mada.Ukweli humuweka mtu huru.Piga za kwako kwa hyo smartphone nzur ya kwako utupie hapa
Duh, Mimi nlidhani wale jamaa wa coict wangetuwekea prepaid WiFi DSM nzima waturahisishie maisha na waongeze pato la chuo,Chuo kizima hakina hata wifi, kwa dunia ya leo ya sayansi na teknolojia bila internet ni sawa na bure.
Yaani ukiyaona yale majengo pamoja na upya wake lakini unaweza fikiri ni majengo ya mwaka 70 yaliyokarabatiwa. Majengo yale yapo barabarani yalipaswa kuwa kivutio lakini ni tofauti kabisa.Halafu hapo UDSM ndio wahandisi karibu wote wa nchi hii wametokea hapo, this is also killing.
Hizi ni Picha Mubashara,UDSM ni kweli imechakaa jamani tukubali tukatae huo ndio ukweli mchungu
View attachment 473993View attachment 473994View attachment 473995View attachment 473996View attachment 473997View attachment 473998View attachment 473999
Habari za wakati huu wadau.