Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,756
- 121,806
- Thread starter
- #41
Pita, Peter, Petro,Petiro ni jina lile lile kama ilivyo kwa Josefu, Joseph, Yosefu, Yusufu ni mtu yule yule na Jemsi, James, Yakobo, Yakubu ni mtu yule yule na Joni, John, Yahana, Yohane, Yohani ni mtu yule yule ila nakiri kuna wengine tunasumbuliwa na kasumba ya uzingu anayejiita Petro akiitwa Petiro hapendi kwa hili samahani!.Mkuu Pasco kwanza naitwa Petro na si Petiro. Halafu,unapojibu usiwe unadharau au kukejeli watu kaka. Tazama ulivyonikejeli na kunidharau
Sijajibu kwa tharau wala kejeli ila jf was ment to be the home of great thinkers, sasa wewe mtu wa LL.M kushindwa kubaini mantiki ya uzi huu, leaves much to be desired! .
Kwa vile watu humu tunatofautiana sana uwezo wa kusoma na kuelewa the motives behind baadhi ya mabandiko then tuna wajibu wa ku simply ili kila mtu aweze kuelewa kwa level yake ndio maana nikauliza kama bado hujaelewa naweza kukufafanulia kwa low level zaidi na zaidi hadi unielewe! .
Mimi nilikutana na thread ambayo sijaielewa kabisa, huwa najipitia zangu bila kuchangia chochote, na ndio maana tuna majukwaa mengi huu na yote yana wapenzi wake mfano leo nimekaribishwa MMU nikakukuta kuko very interesting. Nitakuwa nashinda kule! .
All and all, I apologise, if it makes you feel bad.
Pasco