sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,072
1 kamwambia ukweli Young killer _ saivi yupo busy na mapenzi kuliko mziki (kuna time nilidhan Bongo hip hop ataiokoa)
2 Wakazi anaongea sana mitandaoni(apewe kaz wasafi media
)
3 Nikki Mbishi (apa naisi kikosi kazi wote) __(wanafanya mziki mzuri lakini nidhamu ni kitu cha muimu ili msanii afike mbali )
4 Rosa ree (unafanya poa ila landa Tale alusaini) _ wasanii wengi bongo wanajua ila menejiment mbovu
5 Fid Q (in my top five you can take any number) apa katoa heshima kubwa kwa msanii mkubwa,
6 lunya na con boi (ndio kizazi cha kuikoa hiphop), sema hapa angemtoa Lunya amuweke Dizasta vina angetisha sana