DuhNyie acheni maskhara nyie... Ombeni sana Mungu msije kukutana na chatu siku moja mkiwa pekeyenu
Wale lile tukio ni la kweli kabisa, wametekwa na wameteswa vibaya... Kuna aina ya utesaji unaumizwa ndani kwa ndani
Hakuna hospital itakayotoa ripoti huru, na hao wahanga hawatakuja kuongea kweli (walau kwa sasa) wametishwa sana na wametishika hasa ndio maana wataendelea kujichanganya kwenye maelezo.... Kitu ambacho ndio mtekaji anataka