Uchaguzi 2025 Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa CHADEMA kufanyika Oktoba 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Iko wazi kwamba Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitangaza pale Mlimani City kwenye mkutano wa Bawacha kwamba huu ni muhula wake wa Mwisho anang'atuka na anapenda mrithi wake atoke Bawacha

Sasa mh Benson umetangaza Uchaguzi wa Viongozi wa taifa Kufanyika October Baada ya chaguzi zote Kuwa zimekamilika, nafikiria ni vema ungekazia katika tamko lako Kuwa Mwenyekiti wa sasa anang'atuka ama la Ili Kuwapa Uwanja mpana na Huru Wanachama waliotamani kugombea Nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Niko Hapa nasubiri ufafanuzi

Wasalaam 😄
Haikuhusu
 
CHADEMA ni wakuwa Faris Kiburuhani.

...tukirudi kwenye mada, naona ni wakati muafaka tukamuondoa Dikteta Mbowe. 20yrs? Vijana chukueni fomu-hapendwi mtu. Nchi kwanza.
 
Iko wazi kwamba Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitangaza pale Mlimani City kwenye mkutano wa Bawacha kwamba huu ni muhula wake wa Mwisho anang'atuka na anapenda mrithi wake atoke Bawacha

Sasa mh Benson umetangaza Uchaguzi wa Viongozi wa taifa Kufanyika October Baada ya chaguzi zote Kuwa zimekamilika, nafikiria ni vema ungekazia katika tamko lako Kuwa Mwenyekiti wa sasa anang'atuka ama la Ili Kuwapa Uwanja mpana na Huru Wanachama waliotamani kugombea Nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Niko Hapa nasubiri ufafanuzi

Wasalaam 😄
Haikuhu wewe uliza huko kwenu kwa nini form ya urais huko CCM inachapishwa moja
 
Ni wakumfaris kiburuhani.

Yaani 20yrs? Ni lipi jipya alilolileta? Sera zake binafsi za Kususa zimewagharimu Wananchi nafasi zao katika masuala mengi tu, ikiwemo KATIBA. Sasa nani asiyejuwa kwamba maamuzi ya kususia Bunge la Katiba lilikuwa la CHADEMA? ikiongozwa na Mbowe?

Fast forward, anachofanya ni yale yale, kutaka Wananchi wafuate sera zake Binafsi kwani anajua kabisa Aliwakosesha Wananchi Katiba mpya wakati ule na sasa anafanya kama redemption, kwa kushikilia bango ajenda binafsi na isiyo punguza makali ya karaa na njaa kwa Wananchi.
 
Iko wazi kwamba Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitangaza pale Mlimani City kwenye mkutano wa Bawacha kwamba huu ni muhula wake wa Mwisho anang'atuka na anapenda mrithi wake atoke Bawacha

Sasa mh Benson umetangaza Uchaguzi wa Viongozi wa taifa Kufanyika October Baada ya chaguzi zote Kuwa zimekamilika, nafikiria ni vema ungekazia katika tamko lako Kuwa Mwenyekiti wa sasa anang'atuka ama la Ili Kuwapa Uwanja mpana na Huru Wanachama waliotamani kugombea Nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Niko Hapa nasubiri ufafanuzi

Wasalaam 😄
Anamuandaa mtoto wake kama yeye alivyoandaliwa na mtei!
 
Iko wazi kwamba Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitangaza pale Mlimani City kwenye mkutano wa Bawacha kwamba huu ni muhula wake wa Mwisho anang'atuka na anapenda mrithi wake atoke Bawacha

Sasa mh Benson umetangaza Uchaguzi wa Viongozi wa taifa Kufanyika October Baada ya chaguzi zote Kuwa zimekamilika, nafikiria ni vema ungekazia katika tamko lako Kuwa Mwenyekiti wa sasa anang'atuka ama la Ili Kuwapa Uwanja mpana na Huru Wanachama waliotamani kugombea Nafasi ya Mwenyekiti Taifa

Niko Hapa nasubiri ufafanuzi

Wasalaam 😄
very dangerous question within cdm 🐒
 
Uchaguzi au mazingaombwe mwenyekiti asiye na kikomo ni mbowe makamu lissu katibu mnyika wala msipoteze pesa kwenda tanga kufanya uchaguzi!
Nawe ni familia ya Mwakipande?,nitabirie mimi hawa maadui wangu since president Nyerere nitawaondoa lini,ujinga,umasikini,maradhi na cousin wao rushwa?,serikali ya ccm imenitawala 60 yrs na sikioni walichonifanyia
 
Iko wazi kwamba Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitangaza pale Mlimani City kwenye mkutano wa Bawacha kwamba huu ni muhula wake wa Mwisho anang'atuka na anapenda mrithi wake atoke Bawacha.

Sasa mh Benson umetangaza Uchaguzi wa Viongozi wa taifa Kufanyika October Baada ya chaguzi zote Kuwa zimekamilika, nafikiria ni vema ungekazia katika tamko lako Kuwa Mwenyekiti wa sasa anang'atuka ama la Ili Kuwapa Uwanja mpana na Huru Wanachama waliotamani kugombea Nafasi ya Mwenyekiti Taifa.

Niko Hapa nasubiri ufafanuzi.

Wasalaam 😄
Umbeya HAUNA posho
 
Nawe ni familia ya Mwakipande?,nitabirie mimi hawa maadui wangu since president Nyerere nitawaondoa lini,ujinga,umasikini,maradhi na cousin wao rushwa?,serikali ya ccm imenitawala 60 yrs na sikioni walichonifanyia
Shika jembe ukalime!
 
Back
Top Bottom