Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,120
- 3,711
Kabla sijapata Id nilikuwa nikiwafuatilia sanaMkuu nimefurahi sana kukuona tena,habari za toka 2014/2015?.
miaka mingi imepita.karibu sana.
hivi yule @bulldog alienda wapi?
Kabla sijapata Id nilikuwa nikiwafuatilia sanaMkuu nimefurahi sana kukuona tena,habari za toka 2014/2015?.
miaka mingi imepita.karibu sana.
Mkuu umewachokoza naona wamekuja eti Tz wanauona uchaguz wa kenya kama wa USA wamesahau walivokuwa wanarusha kampen zetu kama wao ndio wanaombwa kura.
Hahahahaha hii thread nimeileta hapa kwa kuwatega ili watoe povu halafu baadae niwatie aibu.Mkuu umewachokoza naona wamekuja eti Tz wanauona uchaguz wa kenya kama wa USA wamesahau walivokuwa wanarusha kampen zetu kama wao ndio wanaombwa kura.
Afukuzwe kenya huyo hajui kitu, immigration wetu watamshugulikia tu, ni sawa na waswahili wenzake tu analeta ze ze ze tu! Ze comedy irudi tz wakabake demokrasia mbali na sisi.
Maelezo yako yanakinzana na huyo Mkenya kilaza hapo juu.Haya hongera ila kwa kweli basi mlikua nyuma sana, muda wote huu nilikua najua vyombo vyenu vya habari huwa vina wanahabari wanaotoka nje kukusanya taarifa. Yaani hata kwenye nchi za jirani zenu hamkua na wanahabari wanaofika.
Inafaa muanze kujiamini na kujitia jeuri, mtoke jameni ili kupanua uwezo wa kufikiri na kuona mengine zaidi ya Dar.
Sisi Wakenya tunakatiza Afrika yote utadhani shamba la bibi yetu. Kama ni suala la wanahabari kutoka ndio usipime, fuata makala ya "Daring Abroad - By Alex Chamwada", jinsi amezunguka dunia akikusanya taarifa za Wakenya ambao wanafanya yao nje ya nchi na kutuma hela nyumbani.
uchaguzi wa 2007 umeacha historia mbaya miongoni mwao maana uliondoka na roho nyingi sana za wakenya.Hii ni nzuri. Ila ishatokea uko nyuma mfano uchaguzi mkuu wa Kenya 2007 itv walimtuma Deo Rweyunga akawa anaripoti kwenye habari.
Mkuu Zuwenna,Pole sana
Jiandaeni Vizuri
tuna wafuatilia kila Hatua
hahaha
Askari Kanzu! Where were u at all these years, in jail?!Duh, unachekesha sana unavyokishadadia kiingereza kama kikaragosi
Big deal? It's the first time ever a Tanzanian media house has posted a journalist to cover an event in another country!What is so special kadoda11 ?
Alokuambia uchangie nani?I have never seen a more useless topic like this one,even in the entire jf archives!Meeen!Sooo pathetic ,just wish I had not seen it in the first place!
Mkuu Zuwenna,
Hakika Tunao kila hatua, wakipinda kushoto tunao, wakikata kona kulia tupo, mpaka kieleweke kama alivyosema Deputy President wa Kenya, Mh. William Ruto wakati akitafuta kura za Jubilee kule county ya Turkana March 2017, Ila sisi tunafuatilia kama jirani mwema kuona kama kuna haja ya kuja kuamulia ngumi za kupinga matokeo ya uchaguzi kama za mwaka 2007.
NTV Kenya
Ivi huo ukabila kenya upojeuchaguzi wa 2007 umeacha historia mbaya miongoni mwao maana uliondoka na roho nyingi sana za wakenya.
"ukabila kitu mbaya sana buda".
Ivi huo ukabila kenya upoje
Tanzania naweza kwenda Mbeya nikakaa miaka wala siulizwi kabila langu
nilishangaa siku moja MOTOCHINI anasema
Kenya kila Kabila lina Redio yake
hii nikweli?