Kuelekea 2025 Ubalozi wa Marekani: Tumeshtushwa na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi kuwadhibiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe kwa akili yako unafikiri huyo Balozi wa US atafanyanini? Slavery mentality inakusumbua. Badala ya kuwategemea watz unawaza kuwategemea mabeberu unafikiri watawasaidia kuchukua nchi au?!
 
Huna Akili.
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia kuniita sina akili?

Kule Marekani aliyemshambulia Trump ni kijana tu kwa mihemko yake na utashi wake hivyo huwezi kuilaumu serikali ya Marekani.

Tofauti na tukio la kupigwa kwa viongozi wa ipinzani ambalo limetekelezwa na polisi ambao ni sehemu ya serikali.

Tatizo kila kitu unataka kuingiza siasa wakati mambo mengine hayahitaji mihemko ya kisiasa bali utu tu.
 
🚮
 
Wewe kwa akili yako unafikiri huyo Balozi wa US atafanyanini? Slavery mentality inakusumbua. Badala ya kuwategemea watz unawaza kuwategemea mabeberu unafikiri watawasaidia kuchukua nchi au?!
Usiseme balozi sema kwani US inaweza kufanya nini? Na kama hujui inaweza kufanya nini basi tune Cartoon Network uangalie huku tuachie baba zako.
 
Jana walitoa upuuzi....leo amgalau wamenyoosh maelezo
 
Tuna majambazi madarakani
Vitendo vya majeshi yetu vinaashiria kuwa nchi haipo sawa na tunatawaliwa na wauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…