Kuelekea 2025 Ubalozi wa Marekani: Tumeshtushwa na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi kuwadhibiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wala hakukuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani bali kuna wahafidhina ndani ya CCM walikuwa wanamlia timing Samia. Kwanza hawakutaka aapishwe kuwa Rais,pili hawakufurahishwa na falsafa yake ya 4Rs iliyozaa maridhiano. Sasa hili la kuwabananisha Chadema walianza kwa Msajili wa vyama,akalidaka ikafuata zamu ya Polisi kucheza zamu yao IGP wa sasa akawatolea nje akapatikana Kamishna wa mafunzo ambaye yuko very ambitious na hiyo nafasi ya IGP akaipokea kazi hiyo kwa bashasha na akaisimamia yeye mwenyewe mwanzo mwisho akijua sasa kwa vile Mura amedengua basi ni wakati wake sasa. RPC wa Mbeya alijaribu kulihandle with a lot of care alipokuja Awadh akamtukana sana kuwa wewe unawadekeza hawa wahuni hawa ni kuwavunja vunja tu na kweli yeye kwa mikono na miguu yake ndiye aliyesababisha Sugu yuko hoi Hospitalini. Na mind you Sugu ni personal friend wa huyo Balozi wa US. Mwana kulitaka mwana kulipata.
Wewe kwa akili yako unafikiri huyo Balozi wa US atafanyanini? Slavery mentality inakusumbua. Badala ya kuwategemea watz unawaza kuwategemea mabeberu unafikiri watawasaidia kuchukua nchi au?!
 
Huna Akili.
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia kuniita sina akili?

Kule Marekani aliyemshambulia Trump ni kijana tu kwa mihemko yake na utashi wake hivyo huwezi kuilaumu serikali ya Marekani.

Tofauti na tukio la kupigwa kwa viongozi wa ipinzani ambalo limetekelezwa na polisi ambao ni sehemu ya serikali.

Tatizo kila kitu unataka kuingiza siasa wakati mambo mengine hayahitaji mihemko ya kisiasa bali utu tu.
 
🚮
 
Wewe kwa akili yako unafikiri huyo Balozi wa US atafanyanini? Slavery mentality inakusumbua. Badala ya kuwategemea watz unawaza kuwategemea mabeberu unafikiri watawasaidia kuchukua nchi au?!
Usiseme balozi sema kwani US inaweza kufanya nini? Na kama hujui inaweza kufanya nini basi tune Cartoon Network uangalie huku tuachie baba zako.
 
View attachment 3070012

Tumeshtushwa sana na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakamata viongozi wa Chama cha siasa cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, washiriki vijana, na waandishi wa habari kabla ya mikusanyiko iliyopangwa kufanyika Mbeya katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Vijana.

Matumizi haya ya nguvu kupita kiasi yalisababisha baadhi ya wanachama wa chama hicho cha upinzani kuumizwa vibaya na kuhitajika kulazwa hospitalini.

Uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani, na haki ya kupata mchakato wa haki ni haki za msingi, na serikali zote zina jukumu la kudumisha misingi hii ya kidemokrasia.

Tunaunga mkono wito wa mashirika ya kiraia ya Tanzania na tunaihimiza serikali ya Tanzania kuheshimu katiba yake, na kuhakikisha mazingira salama na wazi ya kisiasa ambapo sauti zote zinakuwa huru kushiriki.
............................

Statement from the U.S Embassy to Tanzania:

We are appalled by credible reports that police used excessive police force during recent arrests of leaders of the political party CHADEMA, youth participants, and journalists in the lead-up to planned gatherings in Mbeya on International Youth Day. The injuries sustained resulted in the hospitalization of some opposition party members.

Freedom of expression, peaceful assembly, and the right to due process are fundamental rights, and all governments have a responsibility to uphold these democratic principles.

We echo the calls of Tanzanian civil society organizations and urge the government of Tanzania to uphold its constitution, and ensure a safe and open political space where all voices are free to participate.

Pia soma=> Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?
Jana walitoa upuuzi....leo amgalau wamenyoosh maelezo
 
Tuna majambazi madarakani
Vitendo vya majeshi yetu vinaashiria kuwa nchi haipo sawa na tunatawaliwa na wauaji
 
Back
Top Bottom