Kuelekea 2025 Ubalozi wa Marekani: Tumeshtushwa na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi kuwadhibiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Vichekesho

JF-Expert Member
Jun 20, 2024
471
1,445
FB_IMG_1723649585743.jpg

Tumeshtushwa sana na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi wakati wa kuwakamata viongozi wa Chama cha siasa cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, washiriki vijana, na waandishi wa habari kabla ya mikusanyiko iliyopangwa kufanyika Mbeya katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Vijana.

Matumizi haya ya nguvu kupita kiasi yalisababisha baadhi ya wanachama wa chama hicho cha upinzani kuumizwa vibaya na kuhitajika kulazwa hospitalini.

Uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani, na haki ya kupata mchakato wa haki ni haki za msingi, na serikali zote zina jukumu la kudumisha misingi hii ya kidemokrasia.

Tunaunga mkono wito wa mashirika ya kiraia ya Tanzania na tunaihimiza serikali ya Tanzania kuheshimu katiba yake, na kuhakikisha mazingira salama na wazi ya kisiasa ambapo sauti zote zinakuwa huru kushiriki.
............................

Statement from the U.S Embassy to Tanzania:

We are appalled by credible reports that police used excessive police force during recent arrests of leaders of the political party CHADEMA, youth participants, and journalists in the lead-up to planned gatherings in Mbeya on International Youth Day. The injuries sustained resulted in the hospitalization of some opposition party members.

Freedom of expression, peaceful assembly, and the right to due process are fundamental rights, and all governments have a responsibility to uphold these democratic principles.

We echo the calls of Tanzanian civil society organizations and urge the government of Tanzania to uphold its constitution, and ensure a safe and open political space where all voices are free to participate.

Pia soma=> Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?
 
View attachment 3070012

Naunga mkono hoja ya Ubalozi wa Marekani.
P
 
Watulize mshono hao.
 
Polisi imewapa kiki ya bure CHADEMA. Hawa CHADEMA walikuwa wanahitaji mno haya mambo yatokee na kweli wamefanikiwa. Kama kulikua na viashiria vya uvunjifu wa amani polisi wangezuia tu hiyo mikusanyiko bila kuwapiga wafuasi wa Mbowe.
 
Back
Top Bottom