Tuwe wakweli hivi TPB, NBC na NMB ipi ni bank ya serikali?

Hivi ile Phd yake ni ya nini... Ninachojua hata sisi tuliosoma engineering kwa ngazi ndogo ya ka degree tumesoma uchumi na management....
Sasa najiuliza darasan alikuwa anaelewa au anakalili tu??
Usituulize UJINGA WAKO
 
Huzi benki zote zina hisa za serikali. Sema tu matamshi tunayoyatoa hayana backing ya facts na hatupendi kujisumbua kuzitafuta. Tunapokuja kuumbuliwa huwa tunashupaa na kutumia ubabe kuhalalisha makosa na uongo wetu. Hatupo tayari kukubali mapungufu wala makosa yetu. Tunakoelekea ni kubaya sana.
Mkuu alimuulza Gavana na akamjibu kwmba n NMB pekee ndyo ambayo Serikali ina Hisa
 
tuwe wakweli hivi TPB, NBC na NMB ipi ni bank ya serikali???

maana wikipedia inasema

TPB serikali inamiliki 85%
NMB serikali inamiliki 30%
NBC serikali inamiliki 30%

Ukweli unatuweka huru... je ni bank ipi ni ya serikali kati ya hizi bank???
KATIKA HIZO ZOTE NI NMB PEKEE NI INAIFADISHA SERIKALI ACHA PESA ZOTE ZIPITEIE HUKO
 
NMB wanachangia zaidi kuliko hizo bank nyingine. Kwani umesahau hadithi ya aliyenacho ndiye atakayeongezewa?
 
tuwe wakweli hivi TPB, NBC na NMB ipi ni bank ya serikali???

maana wikipedia inasema

TPB serikali inamiliki 85%
NMB serikali inamiliki 30%
NBC serikali inamiliki 30%

Ukweli unatuweka huru... je ni bank ipi ni ya serikali kati ya hizi bank???
Inategemea hizo hisa zinakupa maamuzi gani katika uendeshaji wa benki. Waarabu wamenunua hisa za kutosha Daimler Benz lakini hawana mtu anayeingia kwenye Board of Directors wa hiyo kampuni. Hivyo tujiulize je hizo share za Serikali zina uzito wo wote? Kwa maoni yangu naona hakuna!
 
Watu banyan'ing'we mnaongea tu kama kasuku sawa na mkulu wangu. NBC nako bado kuna umilki wa serikali sijui kwa nini Rais wangu anaachwa kujivua nguo kiasi hicho bila kusaidiwa! Angali hiyo taarifa hapo chini kuhusu umilki wa NBC Ltd kufikia mwaka 2015.

Ownership

At the end of 2015 the bank maintained a shareholder's equity of approximately US$117.7 million (TZS:257 billion). The current shareholding in NBC (Tanzania) is as depicted in the table below:

National Bank of Commerce (Tanzania) Stock Ownership
Rank
Name of Owner Percentage Ownership
1 Barclays Africa Group........................55.0
2 Government of Tanzania ...................30.0
3 International Finance Corporation .......15.0
TOTAL 100.0
 
Maoni yako hakuna kwa sababu ya details ulizonazo au hizo percentage zilizowekwa hapo juu?

Inategemea hizo hisa zinakupa maamuzi gani katika uendeshaji wa benki. Waarabu wamenunua hisa za kutosha Daimler Benz lakini hawana mtu anayeingia kwenye Board of Directors wa hiyo kampuni. Hivyo tujiulize je hizo share za Serikali zina uzito wo wote? Kwa maoni yangu naona hakuna!
 
Kati ya 2005 hadi 2011 hawa walikuwa walipaji wakubwa. Hebu tupe data za sasa.

i. Tanzania Breweries Ltd. (Shilingi Bilioni 165.4);

ii. National Microfinance Bank (Shilingi Bilioni 108.6);

iii. Tanzania Cigarette Company (Shilingi Bilioni 92.1);

iv. National Bank of Commerce (Shilingi Bilioni 89.9);

v. CRDB Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 79.2);

vi. Tanzania Ports Authority (Shilingi Bilioni 76.8);

vii. Tanzania Portland Cement (Shilingi Bilioni 73.4);

viii. Airtel (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 63.6);

ix. Tanga Cement Company Ltd. (Shilingi Bilioni 43.6);

x. Standard Chartered Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 40.0);

xi. Citibank (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 35.7);

xii. Resolute (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 32.1);

xiii. Tanzania International Container Terminal Services (Shilingi Bilioni 25.9);

xiv. Tanzania Distillers Ltd. (Shilingi Bilioni 13.4); na

xv. Group Five International (PTY) Ltd. (Shilingi Bilioni 9.5

NMB wanachangia zaidi kuliko hizo bank nyingine. Kwani umesahau hadithi ya aliyenacho ndiye atakayeongezewa?
 
Huzi benki zote zina hisa za serikali. Sema tu matamshi tunayoyatoa hayana backing ya facts na hatupendi kujisumbua kuzitafuta. Tunapokuja kuumbuliwa huwa tunashupaa na kutumia ubabe kuhalalisha makosa na uongo wetu. Hatupo tayari kukubali mapungufu wala makosa yetu. Tunakoelekea ni kubaya sana.
Ndio maana anataka yeye awe msemaji wa kwanza na wa mwisho.

Hataki kukosolewa au kusahihishwa uongo wake,na anajua kabisa kuwa anadanganya.lengo lake nikujipatia sifa za kipumbavu.

Ili jitu sijui tuliliokota wapi.
 
tuwe wakweli hivi TPB, NBC na NMB ipi ni bank ya serikali???

maana wikipedia inasema

TPB serikali inamiliki 85%
NMB serikali inamiliki 30%
NBC serikali inamiliki 30%

Ukweli unatuweka huru... je ni bank ipi ni ya serikali kati ya hizi bank???
Mkuu data zako ni kweli lakini sijui nini kimepelekea wewe kuleta data hizi yaani motive behind kama motive behind ni kuwa why gov wasitumie TPB jibu ni kuwa mojawapo ya sababu ni kuwa hawana coverage kubwa nmb ndo bank yenye network kubwa ya matawi ila si unajua pogba hakosei! ana Phd yule! anajua kila kitu
 
Hivi ile Phd yake ni ya nini... Ninachojua hata sisi tuliosoma engineering kwa ngazi ndogo ya ka degree tumesoma uchumi na management....
Sasa najiuliza darasan alikuwa anaelewa au anakalili tu??
Anakariri tu
 
Kati ya 2005 hadi 2011 hawa walikuwa walipaji wakubwa. Hebu tupe data za sasa.

i. Tanzania Breweries Ltd. (Shilingi Bilioni 165.4);

ii. National Microfinance Bank (Shilingi Bilioni 108.6);

iii. Tanzania Cigarette Company (Shilingi Bilioni 92.1);

iv. National Bank of Commerce (Shilingi Bilioni 89.9);

v. CRDB Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 79.2);

vi. Tanzania Ports Authority (Shilingi Bilioni 76.8);

vii. Tanzania Portland Cement (Shilingi Bilioni 73.4);

viii. Airtel (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 63.6);

ix. Tanga Cement Company Ltd. (Shilingi Bilioni 43.6);

x. Standard Chartered Bank Ltd. (Shilingi Bilioni 40.0);

xi. Citibank (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 35.7);

xii. Resolute (T) Ltd. (Shilingi Bilioni 32.1);

xiii. Tanzania International Container Terminal Services (Shilingi Bilioni 25.9);

xiv. Tanzania Distillers Ltd. (Shilingi Bilioni 13.4); na

xv. Group Five International (PTY) Ltd. (Shilingi Bilioni 9.5
Vodacom hawamo?
 
Back
Top Bottom