Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 50,431
- 39,754
Ukwaju....vipi Kanisa na Wazungu unawazungunziaje au ndiyo mahaba niuwe.Acha uongo wako
hakuna Mbaguzi kama Mwarabu hawa Waarabu koko tuliobaki nao tu wanabaguliwa sembuse Waafrika?
Ni kwanini huko Falme za Kiarabu Watumwa weusi hawakubaki au kizazi cha mtu mweusi km huko Bara la amerika kwa akina Martin Luther King ili angalau leo wadai haki zao
Kwanini huyo Muoman asiombe radhi km Mzungu alivyokiri na akakubali kuoana nao
Naomba utupe tafsiri ya waa rabu kutuita PUNDA HAPANDI MUSCAT na mpaka leo hawakubali Mabinti zao kuolewa na Nyani aliyekatwa Mkia kutoka mapori ya Tanganyika