Tundu Lissu ndio alikuwa anaomba kuwa Rais uchaguzi wa 2020, aibu kubwa sana hii

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
453
1,800
Huyu mtu anaona akiongea kwa jazba, akitukana Rais au akisema hovyo ndio ataonekana wa maaana.

Sasa hv ongea yake ya hovyo lengo ni kuwaaminisha wenzake kuwa ana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa chama hicho, anaona Mbowe ameshindwa kazi.

Kwake yeye Lissu siasa ni harakati kabisa kabisa.

Kusema chama chake kinapewa hela na CCM ni dhahiri kuwa huyu mtu amechanganyikiwa.

Mwanasheria mzima unayejidai kuwa msomi unaongea vitu bila evidence.

Kwamba kuna hela nyingi ndani ya chama, kama huna hela wewe ndio unafikiri na wenzako, CCM imwage hela kwa Chadema inatafuta nini?

Nchi hii ambayo watu wameihangaikia kufika hapa ilipo uje ww mwenye mdomo kama chuchunge upewe nchi.

Kama alikosa nchi Augustine Mrema enzi hizo siasa ni siasa kweli mwaka 1995 akiwa NCCR Mageuzi ndio mtaweza ss hv waongo waongo nyie
 
kama magufuli aliweza kuwa raisi basi Lissu atakuwa bora zaidi
 
2020-Kura za Huruma

2025-??? Kura za kununuliwa na Mabilionea

Hivi baada ya hizi drama zake, hamuoni Usalama wa Taifa letu utakuwa mashakani.

😔
 
Inaonyesha wewe si mvumilivu wa kisiasa au umevamia fani tu

Mrema hajawahi kuhama CCM na huko NCCR mageuzi Lyatonga alimkuta Tundu Lisu

Siasa hazitaki hasira utashindwa kukiuza Chama chako jaribu Kuwa kama Mwijaku 😂😂😄
 
kama magufuli aliweza kuwa raisi basi Lissu atakuwa bora zaidi
Uliona wapi Magufuli akiwa anaropoka kwa jazba kama za Tundu Lissu?

=====
Magufuli aliuza sera,Tundu Lissu anahadaa Umma tu-Je, ataweza kuvunja mkataba wa Bandari?

Tundu Lissu ataweza kuwarudisha Wamaasai kwao? ama anaturubuni tu?

Vytote alivyosema Magufuli alivifanya.

Alisema ataleta SGR-Sasa hivi SGR inaserereka
Alisema kuna umuhimu wa kuleta Umeme wa kutosha-Bwawa la Nyerere linamwaga umeme.

Alisema kuna Umuhimu wa kupunguza kero za Wananchi barabarani- Tuna flyovers, barabara lukuki za kiwango cha lami, madaraja pia.

Alisema Tanzania imejaa vikwazo vya Uwekezaji- sera zake zimeongeza wawekezaji lukuki.

Alisema Meli zetu zimechakaa- Sasa Tunajenga meli zetu wenyewe, mpya.

Lissu amesema nini zaidi ya kutukana kwa jazba.

Amesema nini, kama vile sera, zitakazo kuja kuleta maendelea kwa Wananchi-zaidi ya Kuwachonganisha na serikali?
 
Huyu mtu anaona akiongea kwa jazba, akitukana Rais au akisema hovyo ndio ataonekana wa maaana.

Sasa hv ongea yake ya hovyo lengo ni kuwaaminisha wenzake kuwa ana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa chama hicho, anaona Mbowe ameshindwa kazi.

Kwake yeye Lissu siasa ni harakati kabisa kabisa.

Kusema chama chake kinapewa hela na CCM ni dhahiri kuwa huyu mtu amechanganyikiwa.

Mwanasheria mzima unayejidai kuwa msomi unaongea vitu bila evidence.

Kwamba kuna hela nyingi ndani ya chama, kama huna hela wewe ndio unafikiri na wenzako, CCM imwage hela kwa Chadema inatafuta nini?

Nchi hii ambayo watu wameihangaikia kufika hapa ilipo uje ww mwenye mdomo kama chuchunge upewe nchi.

Kama alikosa nchi Augustine Mrema enzi hizo siasa ni siasa kweli mwaka 1995 akiwa NCCR Mageuzi ndio mtaweza ss hv waongo waongo nyie
Wewe mpaka mda huu hii nchi umefanyia nini, Lissu uyo ni Mwana wa Mungu kaa mbali naye Aliekipanga Mungu Kwake Hakuna wakukibadilisha period
 
Huyu mtu anaona akiongea kwa jazba, akitukana Rais au akisema hovyo ndio ataonekana wa maaana.

Sasa hv ongea yake ya hovyo lengo ni kuwaaminisha wenzake kuwa ana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa chama hicho, anaona Mbowe ameshindwa kazi.

Kwake yeye Lissu siasa ni harakati kabisa kabisa.

Kusema chama chake kinapewa hela na CCM ni dhahiri kuwa huyu mtu amechanganyikiwa.

Mwanasheria mzima unayejidai kuwa msomi unaongea vitu bila evidence.

Kwamba kuna hela nyingi ndani ya chama, kama huna hela wewe ndio unafikiri na wenzako, CCM imwage hela kwa Chadema inatafuta nini?

Nchi hii ambayo watu wameihangaikia kufika hapa ilipo uje ww mwenye mdomo kama chuchunge upewe nchi.

Kama alikosa nchi Augustine Mrema enzi hizo siasa ni siasa kweli mwaka 1995 akiwa NCCR Mageuzi ndio mtaweza ss hv waongo waongo nyie
Povu....
 
Kama unaamini una akili timamu, weka angalao matusi matatu ambayo Lisu amemtukana Rais.

Ukiona huwezi, jitahidi uwataarifu ndugu zako kuwa unaumwa, wakuwahishe Milembe hospital maana ndiyo hospitali inayoaminika hapa Tanzania kwa tiba ya wenye matatizo ya afya ya akili.
 
MwanaCcm wa kwanza kuiombea chadema mema. Na kuonesha yupi anafaa.

Nyie si ndo mlisema mbowe aachie uenyekiti kuonesha demokrasia?
 
Huyu mtu anaona akiongea kwa jazba, akitukana Rais au akisema hovyo ndio ataonekana wa maaana.

Sasa hv ongea yake ya hovyo lengo ni kuwaaminisha wenzake kuwa ana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa chama hicho, anaona Mbowe ameshindwa kazi.

Kwake yeye Lissu siasa ni harakati kabisa kabisa.

Kusema chama chake kinapewa hela na CCM ni dhahiri kuwa huyu mtu amechanganyikiwa.

Mwanasheria mzima unayejidai kuwa msomi unaongea vitu bila evidence.

Kwamba kuna hela nyingi ndani ya chama, kama huna hela wewe ndio unafikiri na wenzako, CCM imwage hela kwa Chadema inatafuta nini?

Nchi hii ambayo watu wameihangaikia kufika hapa ilipo uje ww mwenye mdomo kama chuchunge upewe nchi.

Kama alikosa nchi Augustine Mrema enzi hizo siasa ni siasa kweli mwaka 1995 akiwa NCCR Mageuzi ndio mtaweza ss hv waongo waongo nyie
KILAZA KTK UBORA WAKO
 
Lissu alishinda vizuri tu ila Magufuli aliamuru asithubutu mtu kufaulisha mpinzani ndio maan hakuna mpinzani alipata kura ya ubunge na matokeo yake ni kuwang'ang'ania akina Halima Mdee ili nchi iweze kupata misaada kwani baadhi ya wafadhili wanahitaji kuwe na uwiano flani bungeni. Aibu kubwa kwa marehemu Magufuli na wafuasi wake wasio na akili nzuri.
 
Back
Top Bottom