Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 31,744
- 30,365
Duh, eti Lisu ni genius, ha ha ha. Tutashitakiwa sio?Kuna Ajabu gani genius lisu kuwa mbunge we
Duh, eti Lisu ni genius, ha ha ha. Tutashitakiwa sio?Kuna Ajabu gani genius lisu kuwa mbunge we
Huyo ndo Lissu anayemuamini maneno yake akapimwe akili.
Umeongea ukweli kabisa mkuu! Lissu na sisi wengine woote tunatambua makosa yalifanyika hadi kufikia hapa tulipo, lakini ni vyema tujiulize kama taifa kuwa alichokifanya Magufuli cha kujaribu kuzuia wizi huo kuendelea ni sahihi ama sio sahihi...kwamba ni bora yeye (Magufuli) angelipotezea swala hilo au ni vyema alivyo ingilia kati sasa!?
Lissu anapokosea ni hapo anapoifanya hii issue kama mbio za marathon, kuwa anatafutwa mshindi badala ya sisi woote kwa umoja wetu tujiunge kama taifa tumtie moyo JPM ili tupambane, sio kauli za kuvunjana moyo anazozitoa!
Lakini ukimsoma vizuri Tundu Lissu utagundua kuwa hampingi Rais John Magufuli, ila anamkosoa sawa na wale wanaomsifia. Kwangu mimi, mtu akiwa na sababu za kusifia asifie na mwingine akiwa na sababu za kukosoa akosowe (maana kusifia na kukosoa kunatokana na perspective). Lakini pia kama makosa yalifanyika watu wasizuiwe au wasionekane wabaya wakiyasema. Mfano, ukimjeruhi mtu na kuamua kumpeleka hospitali akatibiwa na kupona (kurudia hali yake ya zamani) huwezi kumzuia kuzungumzia jinsi ulivyomjeruhi kwa vile umeweza kumpeleka hospitali, kutibiwa na kupona. Kwangu mimi, lazima tuvumilie tofauti za mawazo hata yale ambayo hatuyapendi kwa sababu hata wengine hawapendi mawazo yetu. Kukiwa na watu wengi, lazima tutegemee wingi wa mawazo na mitazamo tofauti maana hiyo ndiyo nature yetu - we are unity in diversity.
Njaa na kupiga vigelegele.Hapana ni akili ya kawaida tu Lisu anaeleweka vizuri sema kama umelogwa kwa njaa huwezi kumuelewa
Nakubaliana na wewe mkuu...! Shida yangu ni timing ya kufanya anayoyafanya! Maana tuna task mbele yetu ya namna gani na njia gani tupite ili makosa ya kimkataba yasijirudie...na mtu kama yy angefaa kutuelezea way forwad...halafu tukalaumiana hapo baadaye! Tukamate samaki kwanza, issue ya kumgawana kulingana namna nani alifanya sana nani alikosea...itakuja baadaye!