Kaumbukaje,wewe haujasoma hata nyaraka ambazo Bashe alimwomba Lissu amwoneshe,na alivyozisoma aka-appreciate,wewe from where you know yourself,unacomment hovyo.Lisu ni wa kupuuzwa. Labda aungwe mkono na "manyumbu" tu, hapo hakuna tatizo. Mtu mzima ameumbuka ile mbaya. Ajaribu tu kuziba uso ndio iliyobaki.
Mkuu inaonekana uko makini sana na mwenye Uhuru wa mawazoKuna wakati Lissu anakuwa very arrogant. Hapo kwenye professorial rubbish alienda mbali sana. Pamoja na hayo, sijawahi kutilia shaka uzalendo wake. Lissu hawezi kununuliwa na wazungu leo wala kesho. Kipindi cha yeye kununuliwa kilikuwa wakati ule ambapo alikuwa peke yake anayeamini tunaibiwa na hata akashtakiwa kwa kupiga kelele kuhusiana na madini-eti ni mchochezi.
Pongezi kwa Prof. Tibaijuka na Bashe kwa kutambua kuwa hoja za Lisu zina nia njema na kwamba yeye ndo mbunge pekee anayelijua suala la unyonyaji wa raslimali zetu kwa kina. Kadiri umri wa Lissu utakavyokuwa unaenda, ndivyo atakuwa anakuwa mzuri zaidi kama mvinyo maana atajifunza diplomacy.
Kaumbuka tu. Kama hutaki kajinyonge na hicho Kiingereza chako cha kukariri. Eti from where you know yourself, khaaa!Kaumbukaje,wewe haujasoma hata nyaraka ambazo Bashe alimwomba Lissu amwoneshe,na alivyozisoma aka-appreciate,wewe from where you know yourself,unacomment hovyo.
Umechangia vizuri hoja!! Kizalendo zaidiKuna wakati Lissu anakuwa very arrogant. Hapo kwenye professorial rubbish alienda mbali sana. Pamoja na hayo, sijawahi kutilia shaka uzalendo wake. Lissu hawezi kununuliwa na wazungu leo wala kesho. Kipindi cha yeye kununuliwa kilikuwa wakati ule ambapo alikuwa peke yake anayeamini tunaibiwa na hata akashtakiwa kwa kupiga kelele kuhusiana na madini-eti ni mchochezi.
Pongezi kwa Prof. Tibaijuka na Bashe kwa kutambua kuwa hoja za Lisu zina nia njema na kwamba yeye ndo mbunge pekee anayelijua suala la unyonyaji wa raslimali zetu kwa kina. Kadiri umri wa Lissu utakavyokuwa unaenda, ndivyo atakuwa anakuwa mzuri zaidi kama mvinyo maana atajifunza diplomacy.
Ha ha ha ha, aisee unachekesha.Yaani akili za Tundu Lissu ni kubwa kuliko ukoo wako wote na uzao wenu wote.
Nikikumbuka jinsi alivomtangaza lowasa kama fisadi mkuu kila kona kila saa, na baadae akageuka, naona kweli huyo MTU sio Wa mchezo mchezo na hajashikiwa akiliHon. Tundu Lisu sio wa mchezo mchezo.Hakika huyu Mheshimiwa hajashikiwa akili.
Yaani baadhi ya wananchi,pamoja nakua na matumizi ya teknolojia katika simu na vyombo mbalimbali vya mawasiliano,bado kuna wajinga ambao wanajitoa ufahamu nakucheza kila muziki ambao watawala wanataka wacheze,muda mwingine huwa nawaza kua kuna watu wana-abuse demokrasia,hawakuwa wanatakiwa wafanye maamuzi bali wangekua wanaamuliwa.Wengine wamejipanga jumapili waende kanisani wakiwa na sare za kijani kwa ajili ya ibada ya kumpongeza alowahi kuwa mbunge wao na sasa ndo anaepambania magwangala badala ya madini yenyewe.
Sahihisha kiingereza changu nikuumbue hapa,kwanza unavyojibu tu,unaonesha una IQ ndogo,huwezi ukatoa jibu jepesi hivyo,eti "kajinyonge",hakuna logic behind hadi ujibu hivyo.Kaumbuka tu. Kama hutaki kajinyonge na hicho Kiingereza chako cha kukariri. Eti from where you know yourself, khaaa!

Safi sana mkuu.Kuna wakati Lissu anakuwa very arrogant. Hapo kwenye professorial rubbish alienda mbali sana. Pamoja na hayo, sijawahi kutilia shaka uzalendo wake. Lissu hawezi kununuliwa na wazungu leo wala kesho. Kipindi cha yeye kununuliwa kilikuwa wakati ule ambapo alikuwa peke yake anayeamini tunaibiwa na hata akashtakiwa kwa kupiga kelele kuhusiana na madini-eti ni mchochezi.
Pongezi kwa Prof. Tibaijuka na Bashe kwa kutambua kuwa hoja za Lisu zina nia njema na kwamba yeye ndo mbunge pekee anayelijua suala la unyonyaji wa raslimali zetu kwa kina. Kadiri umri wa Lissu utakavyokuwa unaenda, ndivyo atakuwa anakuwa mzuri zaidi kama mvinyo maana atajifunza diplomacy.
Lowasa alipoenda chadema alikalishwa kikao akawaelezea vizuri picha yote juu ya Richmond A-Z wakagundua kuwa kumbe Mmiliki wa Richmond ni kikwete lakini alikuwa akieneza propaganda za kumchafua lowasa kwa nia ya kumdhoofish ma asigombee urais akaja kulipa kisasi.Nikikumbuka jinsi alivomtangaza lowasa kama fisadi mkuu kila kona kila saa, na baadae akageuka, naona kweli ohuyo MTU sio Wa mchezo mchezo na hajashikiwa akili
Mngekuwa hata mnaonyesha ameumbukaje ili mtusaidie na sisi wengine akina Bashite, tafadhali!Lisu ni wa kupuuzwa. Mtu mzima ameumbuka ile mbaya. Ajaribu tu kuziba uso ndio iliyobaki.
Hahahaha hii tamu sana natamn asimame nimskie akimsifia mh ,cjui atatumia maneno yapi kama atakuwa mzalendo anapswa kusema nashkru mh rais kwa mmi kutajwa kwnye report ni kweli nilikosea sana naombeni msamaha sirudii tenChenge na yeye atakuepo kumpongeza Rais.
Yaani mnavyokatukuza haka kajamaa inatia huruma.Mngekuwa hata mnaonyesha ameumbukaje ili mtusaidie na sisi wengine akina Bashite, tafadhali!