kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,503
- 16,590
Si mchezo kwa kweli.Hata kama unaweka guest/ hotel ya 3 star kwa gharama ya 3bn shilling yenye vyumba vya self 20..... na vinajaa kila siku 30,000@ kwa kila siku utakusanya 600,000-18% vat 600,000 -108000= net income 492000 ×30×12= itakuchukulia karibia miaka 40 kurudisha pesa yako,...... hata mkopo wa IMF/World bank ni miaka 20 kulejeshwa iweje ni wekeze niaze kupata faida baada ya miaka 40.