Tunatafuta mawakala kwa ajili ya Microfinance

Mkuu kunatatizo sana la wataalamu wa kibongo wengi wezi na kampuni nyingi zinakufa kwa kufilisiwa na wataalamu wa kibongo. Ndiyo sababu huyo bwana ana tumia njia mbadala kuliko ya kuajiri mojakwamoja.
Huwezi jua hilo mpaka uwe Kwenye biashara husika utajua ugumu wake.

ni kweli umeelewa kabisaaaaaaaa tofauti ya employee na agents kwa 100%
 
Back
Top Bottom