Tunaitaka Tanganyika yetu! Wakati ni huu...

I loved picture ya Makamu wa Rais and Maaalim uzinduzi wa Rasimu ya katiba. 70% of what we "say" is in body language. Baaniani wanajuana kwa kilemba, fine gentlemen made in Zanzibar.
 
hahaa bwashee bwashee umenichekesha.
eti zanzibar smart, kweli?
broda yo wrong and yo a fool yaan unafurahia kutafutiwa na wanaume wenzako we ule bure afu wajiita smart?
si bure ndo mana mu wa liberali nyinyi.
enough is enough mmepiga kelele sana zimesikiwa nchi yenu mtaachiwa soon and we Tanganyika will be so glad.
#mtutue , period.
 
kaeni tuu msidai tanganyika yenu.. tutawatuma kinoma.. zanzibar tuko kama 2 mills hivi lakini tunawaburuza watu milioni arubaini...dahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh. yaani sisi tumepoa soon tunajichimbia mimafuta kimpango wetu than ya kwenu tunakula kama kawaida.. tulieni tuu mtaendelea kutufanyia makazi sisi zanzibar tunakula.. katiba inayokuja inaweka wazi namna gani tunakula vya kwetu na vya kwenu kama kawaida sio.. daeni chnu nyinyi watanganyika haraka kabisa la si hivyo kunatafuta vyote.. zazibar kidogo lakini smart kabisa...huku kwetu hapewi mtu kitu but kwenu tunajibebea tuu ma ardhi hayo... dahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh amka jirani yangu mtanganyika amkaaaaaaaaaaaaaaa...

Miaka mitano ijayo mafuta yatakuwa hayana thamani tena ,kama hiyo ndio sababu ya kuvunja muungano basi mmepoteza
 
Miaka mitano ijayo mafuta yatakuwa hayana thamani tena ,kama hiyo ndio sababu ya kuvunja muungano basi mmepoteza
potelea mbali..baaDA YA HIYO MIAKA MITANO MIJISHILINGI KIBAO ITAKU ATUMESEVU.. THAN KAMA KAWAIDA YETU YA KUENDELEA KUWABURUZA TUTAKUJA KUJIBEBEA HUK HUKO KWENU NYI NYINYI...
 
Tanganyika inarudi lakini je watu wake bado wana tabia na uzalendo wa kitanganyika?
 
TANGANYIKA ililetwa na Wajerumani na
kuendelezwa na Waingereza. Tanganyika ilizaliwa
pasipo Mtanganyika yoyote kuwepo, kuamua
nani awatawale, mfumo upi uwatawale, na
mipaka ya nchi hiyo iitwayo Tanganyika bali
mchakato ulitawaliwa na ulafi wa rasilimali na
ubepari pamoja European Nationalism. Na tangu
kuzaliwa kwake mwaka 1885 imekuwa ndani ya
ukoloni, unyonyaji, ubaguzi, matabaka na
utumwa mpaka mwaka 1918 ilipochukuliwa na
Waingereza na Waingereza hao kurithi mfumo
wenye tabia hiyo hiyo mpaka 1961. Kwa mantiki
ya kihisabati kuanzia mwaka 1885 mpaka 1961
ni miaka 76 na Mtanganyika aliyezaliwa ndani ya
Tanganyika amezeeka ndani ya maisha hayo na
hata wengine wamefariki wakiwa na tumaini
jipya la kuona utu na Uafrika wao uliochukuliwa
tangu miaka ya 1885 unarudi. Tumaini jipya la
kuona utu na Uafrika wao lilipatikana baada ya
kupata uhuru mwaka 1961 na kukamilika baada
ya Muungano na ndugu zao wa Zanzibar 1964.
Kihistoria na asili ya kuzaliwa kwa Tanganyika na
Zanzibar kama nilivyoeleza hapo nyuma
kulitenganisha ndugu, koo, jamii na jamaa
ambao kabla ya Mkutano wa Berlin walikuwa
wamoja, mfano huu unaweza kuonekana wazi
kupitia mipakani ambapo tunaweza kuona
Wamasai walio Kenya na Tanzania, Watu wa
Pwani walio Tanga na Pemba, Wahaya na
Waganda n.k na ukiangalia hata lugha
wanazozungumza zinaingiliana, zinafanana na
zaidi ni watu wenye asili inayofanana. Kama
ambavyo Mtanganyika na Mzanzibar aliyeishi
miaka 76 au zaidi ndani ya Ukoloni angesema,
kuidai, kuishadadia, kuishabikia, kujivunia au
kuitukuza Tanganyika au Zanzibar na kuibeza,
kuipuuza, kuiua, au kufanya vitu kuiua au
kuivuruga ni kurudisha ukoloni, ni mawazo ya
wakoloni au kupandikizwa na wakoloni kwa watu
wanaojivika ama uzawa ama uzalendo, ni
kuutukuza
ukoloni au kuwatukuza walioleta ukoloni zaidi ya
hapo ni kudai utumwa mana kwa Muafrika na
Mtanzania wa leo anayejitambua vizuri asingedai
tuu muungano wa Tanganyika na Zanzibar bali
Muungano wa Afrika nzima.
 
Taratiibu tutaipata Tanganyika yetu, iwe ni jamhuri iliyokamilika.

RUDI Tanganyika RUDI.
 
Hongera Warioba, kwa kusimamia ukweli na hatimae kuirudisha Tanganyika yetu tuliyoipoteza.

Nitakuenzi Tanganyika yetu, naomba uhai kwa Mungu nipate kukushuhudia ewe Tanganyika.

RUDI Tanganyika RUDI.
 
Ahsante JK, tutakukumbuka sana kwa kutuletea tume huru na kuturejeshea Tanganyika kwenye ramani.

Nitakukumbuka JK kwa kuleta mchakato wa rasimu ya Katiba, utabaki kwenye historia ya nchi hii.

RUDI Tanganyika RUDI.
 
'Nilichukua TAN toka Tanganyika halafu ZAN toka Zanzibar na kuona kuwa nchi nyingi za Kiafrika zinaishia na IA hivo nikaunganisha na kupata TANZANIA'
Huyo ni MDOSI anaejivunia jina lake hilo!!!!!!!!!!
hatutaki tena hii mambo:hand:
 
Kwa heri mwaka 2013, hakika umekuwa ni mwaka wenye nuru kwa kuihuisha Tanganyika kupitia mchakato wa rasimu ya katiba mpya.
Kwa heri 2013 na karibu mwaka mpya wa 2014.

RUDI Tanganyika RUDI.
 
Mkuu, kazi bado mbichi. Pana baadhi ya jamaa wa kijani wameanza kampeni ya kukataa serikali tatu hivo wanategemea sasa kura ya maamuzi itakayopigwa.
 
Back
Top Bottom