Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,185
- 2,300
Jumapili 26/7 ndio mwisho wa Ligi kuu ya Uingereza. Timu ya Samata, Aston Villa inahatari ya kushuka daraja ikiwa na point sawa na Watford zikiwa na point 24, ila Aston villa ina goli moja tu linaloizidi Watford hivyo mpaka leo ipo salama.
Lakini yote 9, kumi ni matokeo ya J'pili wakati Watford itacheza Arsenal na Aston Villa itapocheza na Westham. Ikiwa Aston Villa itashinda itapata tiketi ya moja kwa moja kubaki Ligi Kuu Uingereza. Aston Villa ikifungwa na Watford ikatoa sare au kushinda basi hiyo ni tiketi kwa Aston villa kushuka daraja.
Nawaomba Watanzania kwa nguvu zote tumuombee Mbwana Samata na Aston Villa kushinda mechi yao ya mwisho na kubaki ligi daraja la kwanza. Tunahitaji kumuona Samata katika Luninga katika msimu ujao ndani ya Ligi Kuu Uingereza.