Tumuombee Mbwana Samata na Aston Villa yake Jumapili, 26/7/2020

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
4,185
2,300
Jumapili 26/7 ndio mwisho wa Ligi kuu ya Uingereza. Timu ya Samata, Aston Villa inahatari ya kushuka daraja ikiwa na point sawa na Watford zikiwa na point 24, ila Aston villa ina goli moja tu linaloizidi Watford hivyo mpaka leo ipo salama.

Lakini yote 9, kumi ni matokeo ya J'pili wakati Watford itacheza Arsenal na Aston Villa itapocheza na Westham. Ikiwa Aston Villa itashinda itapata tiketi ya moja kwa moja kubaki Ligi Kuu Uingereza. Aston Villa ikifungwa na Watford ikatoa sare au kushinda basi hiyo ni tiketi kwa Aston villa kushuka daraja.

Nawaomba Watanzania kwa nguvu zote tumuombee Mbwana Samata na Aston Villa kushinda mechi yao ya mwisho na kubaki ligi daraja la kwanza. Tunahitaji kumuona Samata katika Luninga katika msimu ujao ndani ya Ligi Kuu Uingereza.
 
Mama aliiinambiaaa....utavuna ulichopanda nda nda...
 
Kwanza wewe ni me au ke. Ebu tulia uandike vizuri pili Aston villa akishinda sio guarantee ya moja kwa moja inategemea Watford akimpiga arsenal magoli mengi ataenda Watford.Tatu wanabaki ligi kuu na sio ligi daraja la kwanza kama ulivoandika
 
S kumuombea n ujinga wao wenyewe wameyataka wenyewe ile match ya Sheffield walitakiwa kushinda cha maana arsenal ashinde na asiruhusu kufungwa
 
Binafsi huwa simuelewi samatta Nina inamani nafasi aliopata yeye angepata msuva angekua mbali zaidi ya hapo
 
Ni kweli, kwani hata ile ya Everton walitakiwa washinde. Haingii akilini umsimamishe asernal halafu uachie goli dk ya mwisho la kijinga kwa Everton.
 
Binafsi huwa simuelewi samatta Nina inamani nafasi aliopata yeye angepata msuva angekua mbali zaidi ya hapo

Ni vigumu kumuelewa Samatta, hata mimi ningependa kumuona anaonyesha stamina yake, anamove zaidi akiwa uwanjani na anakuwa active katika kuwasiliana na wachezaji wenzake kam a kuomba pasi nk. Kwa mtindo ule anaocheza sasa hivi ligi kuu uingereza itamuia vigumu.
 
Jumapili 26/7 ndio mwisho wa Ligi kuu ya Uingereza. Timu ya Samata, Aston Villa inahatari ya kushuka daraja ikiwa na point sawa na Watford zikiwa na point 24, ila Aston villa ina goli moja tu linaloizidi Watford hivyo mpaka leo ipo salama.

Lakini yote 9, kumi ni matokeo ya J'pili wakati Watford itacheza Arsenal na Aston Villa itapocheza na Westham. Ikiwa Aston Villa itashinda itapata tiketi ya moja kwa moja kubaki Ligi Kuu Uingereza. Aston Villa ikifungwa na Watford ikatoa sare au kushinda basi hiyo ni tiketi kwa Aston villa kushuka daraja.

Nawaomba Watanzania kwa nguvu zote tumuombee Mbwana Samata na Aston Villa kushinda mechi yao ya mwisho na kubaki ligi daraja la kwanza. Tunahitaji kumuona Samata katika Luninga katika msimu ujao ndani ya Ligi Kuu Uingereza.
Yeye anajiombea?
 
Hakuna dua anayoipata mzungu walivuruga mipango yao kabla waache tu ata championship ni kutamu sana tena ndio mpira unapigwa kule
 
Wazungu wanamuita old fashioned striker
Ni vigumu kumuelewa Samatta, hata mimi ningependa kumuona anaonyesha stamina yake, anamove zaidi akiwa uwanjani na anakuwa active katika kuwasiliana na wachezaji wenzake kam a kuomba pasi nk. Kwa mtindo ule anaocheza sasa hivi ligi kuu uingereza itamuia vigumu.
 
Wazungu wanamuita old fashioned striker
Itakuwa kweli. Maana hata Mr Captain alimsifia sana yule striker mgeni na mdogo.

Mchezoni, Samata hajaonesha uwezo wowote mpaka sasa, haonekani hata kwa mbali tu kuwa wachezaji wenzake wakimzingatia kama striker pale mbele.

Ila hili swala la kudondoka dondoka uwanjani mpaka aje achekiwe na waganga itam-cost. Anakuwa kama Eric Bally wa Utd.

Kimsingi angeendelea na Genk kwa misimu miwili zaidi, maana hata Villa walimsajili kwakuw hawakuwa na jinsi nyingine na uwezo mdogo wa kifedha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom