Tume ya Haki Jinai: Vyombo vya Ukamataji hutumia nguvu na kutesa Watuhumiwa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,482
8,337
Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema wamebaini hayo baada ya kuhoji Watuhumiwa katika Vituo 46 vya Polisi Nchini

Pia, Tume imebaini uwepo wa Taasisi nyingi za ukamataji na zenye Mahabusu hali inayosababisha ugumu kujua walipo Watuhumiwa wanapokamatwa.
 
View attachment 2688690
NCHI INA MAMBO YA UONEVU SANA HII Halafu wanasema NCHI ya AMANI
 
katika viumbe wa ajabu ni Polisi kwanza mimi siamini kama Polisi ni binadamu hawa viumbe ni wabaya sana tunapitia madhira mengi sana kupitia Viumbe hawa.

binafsi nikikuta Polisi anapigana na Nyoka namsaidia Nyoka.

Viumbe wa ajabu sana.

ukamatwe baada ya upelelezi kukamilika ? au unaijiwa unabandikizwa vielelezo na unakula kipigo heavy na ukikataa unaweza ukapewa kilema cha maisha ili ukubali ?

lockup unaweza ukakaa hata mwezi mzima ili ndugu zako wakubali kutoa hela ndio uachiwe achana na habari za kupelekwa mahakamani ndani ya saa 24.

asiyewajua Polisi anaweza akadhani hawa viumbe ni Binadamu wenzetu …
 
Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema wamebaini hayo baada ya kuhoji Watuhumiwa katika Vituo 46 vya Polisi Nchini

Pia, Tume imebaini uwepo wa Taasisi nyingi za ukamataji na zenye Mahabusu hali inayosababisha ugumu kujua walipo Watuhumiwa wanapokamatwa.
View attachment 2688690
Hivi hii tume ipo ?
 
Back
Top Bottom