Luharamula
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 495
- 333
Aguse hayo mafisadi papa au wauza sembe papa, aone kama nchi haitatikisika, akina Escrow, EPA,RICHMOND, IPTL, nk...afu waguse mapapa wa sembe akina Rizmoko, Baraka K, Chief.....
Pia Ufisadi kama wa Richmond, wa kulipa mil.152 kwa siku ambao hadi leo tunamlipa huyu jamaa mwenye ubia na Vidacom.Watanzania tujifunze uzalendo tuache uoga.Wakati wa skendo ya majengo ya NSSF tuliaminishwa kwamba baadhi ya wafanyabiashara wakiguswa tu nchi itatikisika, wabunge wa wakati ule wakapiga makofi ya kushangilia.
Leo miongoni mwa walewale wafanyabiashara wameguswa na nchi iko tuli kama maji ya mtungini.
Kwa kweli nadharia nyingine si za kutilia maanani.Nafikiria tu kama hatua hizi zingeanza kuchukuliwa wakati ule pengine hata ufisadi aina ya escrow usingefanyika.Watanzania tuwe wakweli na wazalendo!
Kama tulivyoaminishwa mahakama ya mafisadi ikiisha watafikishwa imeisha tunaambiwa Babaambiliki hafukui Makaburi. Kama kwa mafisadi tumefyanta VP kwa wazee WA Sembe?Watanzania tujifunze uzalendo tuache uoga.Wakati wa skendo ya majengo ya NSSF tuliaminishwa kwamba baadhi ya wafanyabiashara wakiguswa tu nchi itatikisika, wabunge wa wakati ule wakapiga makofi ya kushangilia.
Leo miongoni mwa walewale wafanyabiashara wameguswa na nchi iko tuli kama maji ya mtungini.
Kwa kweli nadharia nyingine si za kutilia maanani.Nafikiria tu kama hatua hizi zingeanza kuchukuliwa wakati ule pengine hata ufisadi aina ya escrow usingefanyika.Watanzania tuwe wakweli na wazalendo!
Watanzania tujifunze uzalendo tuache uoga.Wakati wa skendo ya majengo ya NSSF tuliaminishwa kwamba baadhi ya wafanyabiashara wakiguswa tu nchi itatikisika, wabunge wa wakati ule wakapiga makofi ya kushangilia.

Dagaa wale wa ziwa nyasa. Usihamishe issue kabisa maana bado tuko na watumiaji.Mbowe ni dagaa??
Wewe ni kila.za usiyeelewa chochote...kwa akili yako unafikiri Manjia ataendelea kufanya biashara kubwa Tanzania? Kwa akili yako ataendelea kuweka pesa zake hapa? Kwa akili yako watu kama akina Mohammed Dewji na Bakhresa wataendelea kumwamini Le Mburulazzz? Nikusaidie tu kukwambia kuwa wafanyabiashara wote wakubwa kwa sasa hawatawekeza tena Tanzania, na wengine watahamisha pesa zao zote hapa, ifike mahali mwache ujinga!Watanzania tujifunze uzalendo tuache uoga.Wakati wa skendo ya majengo ya NSSF tuliaminishwa kwamba baadhi ya wafanyabiashara wakiguswa tu nchi itatikisika, wabunge wa wakati ule wakapiga makofi ya kushangilia.
Leo miongoni mwa walewale wafanyabiashara wameguswa na nchi iko tuli kama maji ya mtungini.
Kwa kweli nadharia nyingine si za kutilia maanani.Nafikiria tu kama hatua hizi zingeanza kuchukuliwa wakati ule pengine hata ufisadi aina ya escrow usingefanyika.Watanzania tuwe wakweli na wazalendo!
Watanzania tujifunze uzalendo tuache uoga.Wakati wa skendo ya majengo ya NSSF tuliaminishwa kwamba baadhi ya wafanyabiashara wakiguswa tu nchi itatikisika, wabunge wa wakati ule wakapiga makofi ya kushangilia.
Leo miongoni mwa walewale wafanyabiashara wameguswa na nchi iko tuli kama maji ya mtungini.
Kwa kweli nadharia nyingine si za kutilia maanani.Nafikiria tu kama hatua hizi zingeanza kuchukuliwa wakati ule pengine hata ufisadi aina ya escrow usingefanyika.Watanzania tuwe wakweli na wazalendo!
nan?? kaguswa?wema na TIDWatanzania tujifunze uzalendo tuache uoga.Wakati wa skendo ya majengo ya NSSF tuliaminishwa kwamba baadhi ya wafanyabiashara wakiguswa tu nchi itatikisika, wabunge wa wakati ule wakapiga makofi ya kushangilia.
Leo miongoni mwa walewale wafanyabiashara wameguswa na nchi iko tuli kama maji ya mtungini.
Kwa kweli nadharia nyingine si za kutilia maanani.Nafikiria tu kama hatua hizi zingeanza kuchukuliwa wakati ule pengine hata ufisadi aina ya escrow usingefanyika.Watanzania tuwe wakweli na wazalendo!
Awamu ya 3 inaendeshwa kisheria na watalaam, awam zilizopita zimeendeshwa na wanasiasa. hata hivyo dhana ya kutoguswa kina Fulani ni mbwembwe tu.serikali ikiamua wanaguswa na mambo yanaendelea tu. cha msingi vigezo na msharti vizingatiwekama haijatikisika imekuwaje awamu ya tatu ikaenda kimya kimya
AKILI KUMKICHWA
Haya sasa, mwenzio hatimaye kaomba poo ameamua kuwaita hao wafanyabiashara tarh 7 June, sasa sijui kati yako na yeye nani mjinga!Watanzania tujifunze uzalendo tuache uoga.Wakati wa skendo ya majengo ya NSSF tuliaminishwa kwamba baadhi ya wafanyabiashara wakiguswa tu nchi itatikisika, wabunge wa wakati ule wakapiga makofi ya kushangilia.
Leo miongoni mwa walewale wafanyabiashara wameguswa na nchi iko tuli kama maji ya mtungini.
Kwa kweli nadharia nyingine si za kutilia maanani.Nafikiria tu kama hatua hizi zingeanza kuchukuliwa wakati ule pengine hata ufisadi aina ya escrow usingefanyika.Watanzania tuwe wakweli na wazalendo!
Wameitwa kwenda kufanya Ufisadi?Haya sasa, mwenzio hatimaye kaomba poo ameamua kuwaita hao wafanyabiashara tarh 7 June, sasa sijui kati yako na yeye nani mjinga!
Kwenda kuoneshwa kuwa wanatambulika na kimsingi kuombwa suluhuWameitwa kwenda kufanya Ufisadi?
Nimewauliza, kati yake na nyie mapoyoyo nani mjinga? It is you obviouslyWameitwa kwenda kufanya Ufisadi?