Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

Nyusi zangu!!

Kila nikifanya mazoezi huwa natokwa ns jasho lenye ladha ya chumvi ambalo kiuhalisia likiingia machoni ntapata tabu ya muwasho wa macho!

Nyusi hunisaidia kukwepesha jasho lisiwe na mtiririko ulionyooka kwenda machoni. Kwa usanifu huu naamini kuna suprime Being aliyehusika na hii design.

so, God is there and here people!!!!

[HASHTAG]#wadadamnaotindanyusimunguanawaona[/HASHTAG]
Suprime ndo nn?
 
kupinduka na gari na nikatoka mzima, nilijikung'uta tu vumbi.Mungu Yupo.
Ilishawahi kunitokea hiyo 29.03.2014 sijavaa tena nguo nilizokuwa nimevaa siku ya tukio
922e8c07e0a20be60cfdf75eae13441c.jpg
 
Tukio la kuwepo kwangu nikiwa na umbo maalumu lilisanifiwa vizuri.Nina milango ya fahamu ambayo imetengenezwa kwa mfumo wa ajabu na inafanya kazi kwa namna ya pekee.Umbo langu lenyewe limetengenezwa kwa materials za hali ya juu.Mifumo yote ya mwili kuanzia dygestive system,blood system,nervous system nk imepangiliwa kwa ustadi wa hali ya juu kiasi cha kunipa imani juu ya nguvu ya aliyeunda mifumo hii.Ningekuwa sijaumbwa mimi nadhani nisingekuwa na umbo maalum zaidi ya kuwa na irregular shape.God Is Great..
Like
 
Kifo sio Adhabu! Ni Stage katika Kiumbe chochote Duniani....
Kifo ni kitu ambacho watu hawakipendi.Kinatenganisha wanaopendana.

Sasa, imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao kifo kinachotenganisha wanaopendana kinawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao kifo kinachotenganisha wanaopendana hakiwezekani kuwepo?

Hujajibu swali hili.
 
Back
Top Bottom