Asante kwa ufafanuzi, Hiyo Al- Watan ni mali ya Nyoka (ibilisi) yupo kaziniWe jamaa bado umeng'ang'ana na maswali ambayo hayana msingi, mtu hauamini mungu ila unaleta maswali ya kwanini mungu kafanya hivi na hajafanya vile. Na sijui hata ni mungu gani ambaye unamkusudia wewe.