TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Nanomba ni weke wazi uzoefu wangu kuhusu huduma hizi za Internet hususani kwa Makampuni Matatu ya nayotoa huduma za Internet:

AIRTEL
VODACOM
TTCL

Nitaanza na Airtel.
Mimi Mwanzoni mwa Mwezi Mwezi March 6, 2023
niliunganishiwa na Airtel Huduma ya Internet yenye uwezo mkubwa wanafnga Vifaa vya Internet ambavyo kwa mujibu wa maelezo yao ni vyenye uwezo mkubwa. Vifaa hivyo ni NOKIA FAST MILE (ODU) yaani Outdoo Unit- Ikimaanisha Kuna Dishi Dogo la NOKIA linaitwa Fast Mile linafungwa Nje ya Jengo kwa ajili ya kuwasiliana na Mnara wa Airtel ili kupata Internet yenye Speed na nyenye nguvu. halafu kuna Waya unaoitwa Ethernet unatoka kwenye hiyo ODU kwnda kwenye Router ya Nokia inaitwa NOKIA BEACON 1.1 hii ni kama router za kawaida ila inauwezo wa kuunganisha hadi 200 Users na ni Dual Band.

kumbuka: unapo ingia mkataba na Hawa Airtel unatakiwa kulipia Security Deposit ya Tsh. 200,000/= Refundable.

Sasa Changamoto niliyo ipata wao huduma zao ni kwamba unapewa 200gb kwa mwze mzima na kiasi cha malipo ni Tsh. 100,000 kwa hizo 200gb. Tatizo likaja kwenye Document na Mkataba wao wana dai unapewa 200gb + 5GB per day ikitokea zile 200gb za mwezi husika umezimaliza.

CHANGAMOTO:
Internet za Airtel haikuwa na speed kubwa kwenye Downlodaing bali speed ipo kwenye uploadong tu.

Pia 200gb za data ni chache sana na zile 5gb per day hakuna inamaanisha ukimaliza hizo 200 gb basi hakuna huduma ya internet tena na 100,000 yako imeliwa tayari maana mwisho wamwezi wanakupa Invoice post pay.

Nataka ku sitisha Mkataba na Airtel: SIONI FAIIDA.

VODACOM;
Mtando wa Coacom wenyewe wanahuduma ya Superkasi ambapo unaingia mkataba nao kwa kulipia 120,000 kwa mwezi na unapewa Unlimited Internet yenye Kasi isiyozidi 30 mbps kulingana na eneo ulilopo pia.

kumbuka: unapo ingia mkataba na Hawa Vodacom unatakiwa kulipia Security Deposit ya Tsh. 200,000/= Refundable.

Tatizo la Huduma hii:
Kasi ya internet itategemea na Kasi ya Internet na watumiaji wa eneo ulilopo. Eneo mahalia lina watumiaji wa Internet wengi au wachache, au vifaa na uwezo wa Speed ya Internet.

TTCL :
Mtandao wa TTCL unatoa huduma za Internet kwa kupitia Fiber na Wireless Fiber ( Nano) Hii wireless Fiber inamaanisha kuna kifaa wanakufungia nyumbani kwako au ofisini kwako hata bila kuwepo kwa Fiber Wire za TTCL. na kasi yake ni nzuri kama Fiber. na hiyo nano Inawasiliana na Mnara wa karibu wa TTCL.

FIBER: uzuri wa faiber kwanza kasi yake ni Nzuri sana, haiathiriwi na hali ya hewa, ila inapotokea kuna shida kwenye fiber inaweza kuchukua muda mrefu hadi saa 12 bila kuwa na internet kwenye fiber.

UZURI WA TTCL INTERNET NA FIBER:
TTCL wanapo kufungia hii huduma wenyewe hawana cha Security Deposity wenyewe wanakufungia bure internet unatumia na mwisho wa mwezi ndio unalipia. Vifaa watakavyo kufungia ni maliyao milele, na service wanafabnya wao, kubadilisha Password kwnye Router ya TTCL wanabadilisha wao ( Mpaka uwaite waje kukufanyia marekebisho)

Kwa ujumla TTCL nimetumia iko na speed kubwa kuliko mitandao hiyo mingine ya simu inayotoa huduma ya Internet. Speed ya Fiber ipo stable sana, lakini Mindao mingine ye simu speed stability inacheza sana inaweza kutoka 20mbps mpka 2mps kwa muda wa sekunde kiasi kwamba huwezi ku enjoy internet.

KAMA KUNA MTU ANASWALI BASI ANAWEZA KUULIZA SWALI LAKE:

TUWASILIANE KUPITIA 0769748992
 
Fiber siku zote itakua juu kuliko wireless solution, kuna mdau pia alileta humu voda wana fiber, pia kuna Raha/Liquid kama matumizi ni ya kiofisi, Fiber yao huja na Extra Bemefits pia ni rahisi inaanzia 50,000.
 
Mbona haujasema gharama za internet hiyo ya ttcl zimekaaje?! Kwa maana wanalipisha kiasi gani ingawa umesema kujiunga ni free.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Chief hiyo wireless fibre nayo bei ni iyo na Gharama ya vifaa pia za kwao?
Unaweza kuweka picha ya wireless fibre vifaa vyake?
Vifaa ni kwao, Vyote, wanahakikisha wanaunganisha mpaka unapata Interenet na ikiwezekana mpaka umeunganisha na kifaa chako cha Ofisini au nyumbani au simu au Computer yako ndio wanaondoka site.
 
Wakuu habari zenu.

Natumai mu wazima.

Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet.

TTCL walinipa hii details.
View attachment 2097538

Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k.

Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem.

Nikaamua kucheki Voda Supa kasi

View attachment 2097542

Voda wana laki 115000 lakini nimeenda Voda Shop Ubungo plaza wananiambia wana Laini ya Supakasi Unlimited 50k kwa mwezi.

Watalaamu naomba ushauri ni ipi reliable isiyo na speed ya kusua sua ili nichukue nihustle kutafuta hela.

Mabando ya 3k kila siku yanaumiza alafu unatumia kibahili sio.

Naombeni msaada sana.

Shukrani in advance.

Wakikufungia hiyo ttcl mwaka huu njoo nikupe laki 1
 
Hebu tupe mchanganuo vizuri hiyo laini ya voda inauzwa shingapi kwasababu yapo mabando ya 50,000 ambayo ni limited

Isijekuwa hiyo laini inauzwa 200k

Terms and conditions apply, hajafanya utafiti, hakuna na hakutawahi kuwepo na unafuu kwa vodacom
 
Back
Top Bottom