TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

Wakuu mnaotumia supakasi ikitokea katikati apo hujalipia kama miezi miwili kunakua na shida?
Siku ukilipa ya itabidi ulipe na miezi amhayo hukulipa na kama ukilipa ya mwezi mmoja wataikata na kukwambia ulipe tena ili kufidishia miezi

So no matter unatumia au hutumii kulipa UTALIPA
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Siku ukilipa ya itabidi ulipe na miezi amhayo hukulipa na kama ukilipa ya mwezi mmoja wataikata na kukwambia ulipe tena ili kufidishia miezi

So no matter unatumia au hutumii kulipa UTALIPA
Nimekupata vyema mkuu
 
mkataba ni mwaka kila mwezi ni laki na 15 utumie internet usitumie unalipa tu hiyo laki na 15
ikifika tarehe ya kulipa ujalipa wanaminya speed hata kufungua picha whatsaap kipengele
ukikaa miezi 2 bila kulipa kisha watatu ukaenda kulipa mwezi mmoja unaambiwa umelipia mwezi mmoja unaodaiwa bado mmoja na bado huduma hupati
yaan ukikaa miezi miwili bila kulipa unatakiwa uende na laki 3 na 45 ndo upate huduma
ndo maana hii huduma wanapenda watu wa ofisini siyo mtu mmoja 7bu wabongo longolongo na VODA wazungu longolongo hawataki

hvyo km unajijua ofisi yako ni tiamajitiamaji achana tu na voda
Unlimited ipo Marekani bana, huku hakuna kitu ila ingekuwa bongo tunapata unlimited kama ya Marekani basi watu wangekuwa hawafanyi kazi kutwa wangekuwa wanaongea na kuangalia video live za kijinga. Hivi vi bundle tumtu anaongea kutoka Gongo la Mboto hadi Tegeta na anachoongea ni upumbavu mtupu.
 
Marekani ni katika nchi zenye Internet ya kawaida tu na Mabando ya Ghali, kama Unaishi mjini Tanzania kuna Internet nzuri tu, Ulaya na Nchi za Asia ndio wanafaidi internet kuna Nchi unapata 1Gbps kwa €20 tu.

Pia Tanzania Unlimited zipo nyingi tu Voda supakasi, TTCL Copper, TTCL Fiber, Zuku, Raha (Liquid) etc. Unatumia hadi Terabytes na huulizwi.
 
Back
Top Bottom