TRA yakusanya Trilioni 7.27 kwa kipindi cha miezi 6

Hongereni TRA kwa kukusanya kodi kiasi hicho. Binafsi siamini kwamba uongozi wa TRA utakuwa umepika hizo takwimu. Kwa nini wapike na kutangaza hadharani? Pigeni kazi watanzania wanawategemea kuwafikisha kwenye uchumi usio tegemezi kwa wahisani.
 
Back
Top Bottom