TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

Hizi tabia za kuomba mawaziri husika ili hawa jamaa wapewe misamaha ya kodi, inaonesha vile hili taifa limekuwa likipoteza mapato kwa njia za kujuana.
 
Swafiiii sana walahi
Kijana kiburi huyu
Roho mbaya kweli kweli!
Ehh Mwenye Enzi Mungu endelea kuwapiga mijitu yenye roho mbaya kwa mkono wako wa kuume walahi
 
Hizi tabia za kuomba mawaziri husika ili hawa jamaa wapewe misamaha ya kodi, inaonesha vile hili taifa limekuwa likipoteza mapato kwa njia za kujuana.
Tatizo hapo Ni Sheria za Kodi,ndio Maana unakuta Mara Leo Sheria zinasema mwenye uwezo wa kutoa msamaha wa Kodi Ni Waziri then mabadiliko yakija Tena wanasema mwenye uwezo huo Ni Commissioner wa TRA.
 
Ila misamaha ya Kodi inafikirisha Sana,hivi G-Wagon/Brabus inapewa tax exemption ili iweje?Hio Ni capital asset au?
 
Kodi yote hiyo? Lengo la Serikali ni nini? Kwanini isiwe milioni 20 tu?
Wakati wa kutoza kodi, kinachoangaliwa ni thamani na siyo ukubwa wa kodi. Gari yenye thamani ya dollar zaidi ya laki mbili, unataka ilipwe kodi ya gari yenye thamani ya dollar elfu kumi! Mimi nashangaa analialialia. Si angeagiza ya bei ya chini! Zipo gari za kifahari za dollar chini ya laki.
 
Hiyo ni brabus g wagon sheikh
Watu wengi hawaelewi tofauti ila zote zinaitwa G Class au G Wagen (wagon) kama inavyojulikana
Brabus iliyoletwa na Habari sio kabisa maana baadae wameleta G Wagon nyeupe na namba Z1 nafikiri hiyo ndio Gari lake
Au wasemaje Sheikh
 
Back
Top Bottom