Toa neno lolote kuhusu michango ya Harusi

Nachangia isiba na ugonjwa tu,harusi starehe hiyo Wani wakienda kanisani au msikitini wawili tu hawafhngishwi ndoa?
 
Ndugu zangu mnatuvunja Moyo sisi tunaotaka msaada kutoka kwenu wana Jamii wenzetu. Mimi Binafsi ninatarajia kufunga ndoa hapo Mwezi wa tatu, na nina nia ya kuomba michango kwa ndugu na jamaa, kutokana na hali jinsi ilivyo kwa sasa suala la kusema naweza kulisimamia hili jambo lililo mbele yangu kwa nilichonacho mpaka Muda huu ni uwongo, hivyo nilikuwa nawaomba wazee kidogo mlegeze misimamo yenu, hali ngumu ndugu zangu, kama una uwezo wa kumsaidia mtu chochote we msaidie tu hata kama ni buku. Shukrani
Jmkwani kufunga hiyo ndoa ni shi ngapi?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom