TLS kufutwa rasmi? mswada wakamilika kupelekwa bungeni

Hivi mbona kuna watu wanajisahau namna hiyo!
Mwakyemba duniani hapa tunapita tu hulka hizi na roho mbaya haziwezi kukufikisha popote!
Jitahidi kutenda haki!
Tatizo tundu lissu kugombea!!?
Kuna sheria ngapi zinahitaji marekebisho hata huzioni ila hilo kwasababu ni ni wa upinzani basi unabadili sheria?
Mungu tusaidie kwa kweli!

Mwakyembe enzi za richmond ulivyo nyonyolewa mpaka huruma mpaka makanisani wakahimiza tukuombee!
Leo wewe wa kutenda haya!!
 
Uchaguzi ni wiki hii tuambie huo mswada lini utapelekwa, hadi kuwa sheria Lisu atakuwa anamalizia kipindi chake cha urais.

Haijalishi hata kama ikiwa 2040, lkn neno Tanganyika liondoke pale ni la Kikoloni, na kuweka sura mpya!
 
Bunge kazi yake ni kutunga sheria na kusimamia serikali. Una cheti ? Maana napata wasiwasi kwa haya maswali unayoniuliza.
Sasa kama bunge linatunga sheria na kuisimamia serikali si pamoja na kuhakikisha katiba ya nchi inafuatwa? Nitajie kazi za TLS usibuni jombaa
 
Hayo ni yako, lkn sisi tunafuuuuta TLS na kuweka yetu mpya!
Wekeni tu, ila ipo siku mtajua impact ya mnachokifanya na for sure kitawafanya mje kujuta. Nani aliwahi kuwaza kama Sumaye, Lowassa, Masha wangekuwa nje ya system nchi hii. Ni suala la muda tu ndio unaowadanganya.
 
Kusimamia utawala wa sheria na katiba. Lakini magufuli hataki kwa sababu anajua anavunja katiba na sheria za nchi.
Manake kama ni chombo kiliundwa kusimamia utawala wa sheria na katiba kwann sasa kifutwe kirahisirahisi hvyo? manake swala la kuisimamia nchi kwenye maswala ya utawala wa sheria na katiba kama unavyosema sio chombo kidogo hcho.
 
Kaswali kadogo, kwa nini Tanganyika na sio Tanzania?

Na washawasha!
Na kuna wengine wanaitwa Tanganyika Rifle, wanauza silaha, mi naona ni jina tu, na lina pendeza" kuwa tanzania sasa haina maana tanganyika haikuwako.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Manake kama ni chombo kiliundwa kusimamia utawala wa sheria na katiba kwann sasa kifutwe kirahisirahisi hvyo? manake swala la kuisimamia nchi kwenye maswala ya utawala wa sheria na katiba kama unavyosema sio chombo kidogo hcho.
Ndio maana kiliundiwa sheria na kuidhinishwa katika bunge ujue si chombo kidogo hicho. We bwana usinichoshe kama una access ingia tls .or.tz utasoma kila kitu
 
Wekeni tu, ila ipo siku mtajua impact ya mnachokifanya na for sure kitawafanya mje kujuta. Nani aliwahi kuwaza kama Sumaye, Lowassa, Masha wangekuwa nje ya system nchi hii. Ni suala la muda tu ndio unaowadanganya.

Wako nje ya System lkn Taasisi ya CCM bado ipo, hivyo so far so good!
 
Lakini kuna kichoweza kubadilishwa kwa Urahisi kama hili la TLS, ni rahisi klk kung'oa Reli, nasema FUUUUTA na leta ya kwetu yaani Bodi ya Wataaluma wa Sheria Tanzania!

Wataalamu wa mawazo wanasema Ni hatari sana kufikiria Kwa kuishia njiani.Jaribu kufikiria hadi mwisho wa kitu.Mimi Ni mpenzi wa baadhi ya maamuzi ya JPM lakini sio hili.Ninyi mna shida ya kuifuta TLS au Lisu Leadership kwenye TLS? Tofautisheni Uongozi wa Lisu TLS Na TLS yenyewe.Kama shida yenu Ni Lisu tafuteni njia nyingine ya kumsambaratisha ikiwemo kwenda Kwa Gwajima mukaombe aamuru "mapepo" yamuparamie huyo Lisu.
 
Binafsi siipendi tls na huu kwangu umechelewa sana, hivyo fuuuta Ukoloni huo!
 
Mnaweza kuwazungusha wanaccm mpendavyo, kwa hawa jamaa mtaumbuka mapema na kumpa sifa za unabii Jakaya aliposema ni heri aukose urais kuliko Lissu akipewa nafasi kuingia bungeni.
Hiyo kauli ni kubwa sana kuna kitu jk aliona ndani ya lisu siyo alikurupuka tu kusema hivyo
 
Wanahangaika bure hawana uwezo huo wanataka kuifuta Chama cha Wanasheria Tanganyika Law Society kwa sababu Tundu Lissu anagombea uraisi kweli naanza kuelewa mawakili tunamhitaji Tundu Lissu sana kuliko yeye anavyohitaji hiyo nafasi.
Tutamchagua Tundu Lissu kuwa Rais wa TLS. View attachment 480638
.

Hivi ni nani alitengeneza hiyo flyer?
 
Nimependa hapo WATAALAM wa sheria, bodi yao itaundwa na WAZIRI huku wakisajiliwa na kuwa chini ya WAZIRI huyo huyo.

Inaonyesha Mawaziri ni watu wenye hekima sana eeh mpaka kupewa majukumu kama hayo.
 
Back
Top Bottom