Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,909
Kusimamia utawala wa sheria na katiba. Lakini magufuli hataki kwa sababu anajua anavunja katiba na sheria za nchi.Hv kazi kubwa ya TLS ni nini hasa?
Kusimamia utawala wa sheria na katiba. Lakini magufuli hataki kwa sababu anajua anavunja katiba na sheria za nchi.Hv kazi kubwa ya TLS ni nini hasa?
Kama walimuua nayo KIM JON HAM wa Korea ya kaskizini ila Waziri alipona ndo maanaTunatarajia sasa mawakili mtuoneshe uwezo wenu wa kuweza kujitetea wenyewe kwa hoja za kisheria mahakamani.
Sheria yoyote itakayotungwa kinyume cha katiba ni batili na mahakama ndio chombo cha kutafsiri sheria.
Mwakyembe Mungu amrehemu ile polonium sasa imepanda kwenye ubongo ni maombi tu ndio yatakayoweza kumponya.
Uchaguzi ni wiki hii tuambie huo mswada lini utapelekwa, hadi kuwa sheria Lisu atakuwa anamalizia kipindi chake cha urais.Safi sana kwanza TLS ni mabakia ya Ukoloni, tuunde yetu mpya, hii ndiyo Tanzania mpya niliyokuwa naisubiria miaka yoote!
Maajabu ya nane,Mwakyembe ni yeye kweli au kuna jambo limejificha ndani ya pazia.Nchi ya hovyo kisa Tundu lisu kugombea uongozi,Mwakyembe usitegemee utakuwa Waziri milele usije baadaye kuja kulialia sheria ni msumeno.
Kwahyo TLS wanafanya kazi ya bunge?Kusimamia utawala wa sheria na katiba. Lakini magufuli hataki kwa sababu anajua anavunja katiba na sheria za nchi.
Utapona lini kiharusi?TLS hakuna faida zaidi ya vitambulisho wanavyotoa kila mwaka! Anayewafahamu mawakili ni Jaji mkuu maana ndiye kawaapisha! TLS ni kama wakala tu wa mahakama kuu kukusanya ada za uwakili kila mwaka!
Anayetoa setifiketi za kufanya kazi ya uwakili ni mahakama kuu! Futa huo ujinga usiokuwa na maana yoyote!
Safi sana kwanza TLS ni mabakia ya Ukoloni, tuunde yetu mpya, hii ndiyo Tanzania mpya niliyokuwa naisubiria miaka yoote!
Safi sana kwanza TLS ni mabakia ya Ukoloni, tuunde yetu mpya, hii ndiyo Tanzania mpya niliyokuwa naisubiria miaka yoote!
Bunge kazi yake ni kutunga sheria na kusimamia serikali. Una cheti ? Maana napata wasiwasi kwa haya maswali unayoniuliza.Kwahyo TLS wanafanya kazi ya bunge?
Nani kakuambia kila cha mkoloni Ni kibaya tu? Mfumo wa Elimu mpaka Leo una elements za kikoloni.Reli ya Mkoloni.Majengo ya Ikulu baadhi ya mkoloni.Je,tuvikatatae vitu Kwa sababu tu waanzilishi Ni Watu hatukubaliani nao?
Unabaki na kofia ngapi??Safi sana kwanza TLS ni mabakia ya Ukoloni, tuunde yetu mpya, hii ndiyo Tanzania mpya niliyokuwa naisubiria miaka yoote!
TLS haina faida yoyote mkuu! Hiyo ni taasisi ya kuiba fedha za mawakili tu! Ifutwe haraka!Utapona lini kiharusi?