Timu ya taifa ya Chad yajitoa michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika (AFCON 2017)

Inaonekana CUF ina encourage timu za taifa kujitoa katika mashindano. Hii ni kwa sababu adhabu ni ndogo ssna mil 44 hata majimaji wansweza kulipa hii faini. Halafu eti unawapa adhsbu ya kutoshiriki mashindano ya CUF kwa mwaka huo wakati ndicho walikitaka wenyewe.
Nashauri adhabu ingekuwa Tsh mil 200 na kufungia miaka mitatu kutoshiriki mashindano yoyote ya CAF kwa timu za taifa na club. Otherwise kwa adhabu iliyopo sass hata km mimi ningejitoa kwa sababu kuna unafuu zaidi kujitoa kiliko kuendelea na mashindano_!
 
Kilichobaki ni kuwafunga Nigeria na Misri ili tujipatie tiketi ya AFCON.#TeamHakunaKufeli
 
Kimsingi hakuna cha muhimu kilichobadilika kwa Chad kujitoa.Cha tofauti ni kuwa tungemaliza nafasi ya tatu kwenye group letu kama wasingejitoa.Wao wangekuwa wa mwisho.Nafasi ambayo haitupi chochote.Baada ya kujitoa tutamaliza nafasi ileile ya tatu lakini wa mwisho.Sasa kama tunamlalamikia Chad kujitoa basi tunamlalamikia kwakuwa amesababisha tuwe wa mwisho kwenye group.A thing which is ridiculous!

Tukiwafunga hawa giants wawili nafasi bado ipo.Na ni vilevile hata wasingejitoa Chad.Bila kuwafunga Nigeria na Misri tusingefanikiwa chochote.Chad ni constant factor ambayo ingempa kila nchi kwenye group 6 points.Kujitoa kwake kunaipa kila timu zero point.Kwahiyo ni vilevile tu kufuzu kutategemea matokeo ya timu 3 tu na ambazo ndo zimebaki.Tuache kulialia tuwafunge hawa waliopo
 
Kimsingi hakuna cha muhimu kilichobadilika kwa Chad kujitoa.Cha tofauti ni kuwa tungemaliza nafasi ya tatu kwenye group ketu kama wasingejitoa.Wao wangekuwa wa mwisho.Nafasi ambayo haitupi chochote.Baada ya kujitoa tutamaliza nafasi ileile ya tatu lakini wa mwisho.Sasa kama tunamlalamikia Chad kujitoa basi tunamlalamikia kwakuwa amesababisha tuwe wa mwisho kwenye group.A thing which is ridiculous!

Tukiwafunga hawa giants wawili nafasi bado ipo.Na ni vilevile hata wasingejitoa Chad.Bila kuwafunga Nigeria na Misri tusingefanikiwa chochote.Chad ni constant factor ambayo ingempa kila nchi kwenye group 6 points.Kujitoa kwake kunaipa kila timu zeto point.Kwahiyo ni vilevile tu kufuzu kutategemea matokeo ya timu 3 tu na ambazo ndo zimebaki.Tuache kulialia tuwafunge hawa waliopo

Uko sahihi sana...
 
Hapa angekuwa Jecha ingekuwa poa sana hata kama umejitoa jina lako linabaki tungekuwa tushahesabu point Sita kutoka kwa chad na magoli ya kutosha..
Jecha uko wapi Mzee tunapohitaji msaada wako hautusaidii pale tusipohitaji ndo unautoa..
 
Dah! Fitna za Misri zimetutia kidole.
Ndo bye bye tena.
Hivi unajua Misri ( Farao) na Taifa Starz ipi iliyoumizwa na hii taarifa ya Kujiondoa Chad!!!!! Mwenzio alimpiga tano huko huko kwao Chad na starz alipata kamoko, je nani ataumizwa na hii taarifa!!!!!!!
Misri ingewabeba sana kwenye Goal Differance
 
Swali kubwa hapa ni Tanzania tunanufaikaje na kujitoa huku??

Jibu ni hakuna unufaikaji wowote, maana hao jamaa Misri na Nigeria kuashinda ni ndoto za mchana saa tisa baada ya kulewa shibe ya pilau la pasaka


Ili Taifa Stars isonge mbele tunalazimika kushinda mechi zetu mbili zilizobaki ile dhidi ya Nigeria huko ugenini na dhidi ya Msri nyumbani.
 
Yaani nimeenda kusubiria refund ya hela ya tiketi yangu kama walivyosema kuanzia saa 5 asbh ila uzalendo umenishinda hadi saa 6 mchana hakuna kinachoeleweka hapa Bgruni sheli, Ngoja nisepe zangu nifanye kama nimetoa sadaka kwa timu yangu ya taifa....Yaani watanzania wengi we lack discpline when it comes to time management....Poor Us
 
Back
Top Bottom