Hii mbaya sana kwetu.Watuachie tule point 3 zetu
Ahhh tumeumia sana. Unajua hii mechi watu tungepiga sana mahela. Kuja kwa Samatta tu ni dili tosha kujaza mafuriko pale shamba la bibi.Sisi ndo tumeumia mkuu.
Cha muhimu ni kuichapa Misri hapa na Nigeria kwao...Hatuna chetu
Mkuu ilikua ziende team 2 Na best loser, kwa hiyo team 2 zimekatwa! Team zitagawanyika kwa mbili.Ufafanuzi tafadhari hii maana yake nini,ina maana kule Gabon timu zitakazoshiliki ni pungufu ?? ( kwa mujibu wa wadau hapo juu wanasema eti sasa kundi letu litatoa timu 1 na si 2 ) ina maana zile nafasi 2 inazibwa vipi ili Gabon zisiende timu pungufu ???
Hilo likiwezekana tunapenyaCha muhimu ni kuichapa Misri hapa na Nigeria kwao...
Mmmh....simba ndo huwa wanajitoa hadi kuweka mpira kwapaniyaani kama yanga vile walivyowakimbia simba
Mkuu naona WW umeumia zaidi hata ya mm.Ahhh tumeumia sana. Unajua hii mechi watu tungepiga sana mahela. Kuja kwa Samatta tu ni dili tosha kujaza mafuriko pale shamba la bibi.
Mkuu hayo maumivu nilinayo we acha tu, si unajua mambo yetu ya geti kolekshioniMkuu naona WW umeumia zaidi hata ya mm.
Kweli mkuu! Maumivu yetu hayafanani...pole Sana!Mkuu hayo maumivu nilinayo we acha tu, si unajua mambo yetu ya geti kolekshioni