Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,431
- 8,695
Tunazima radar kwa kukosa ups! Si nasikia kuna kitu kinaitwa redundancy?
Komando Nape kaibuka kidedea katika sakata la mradi wa jengo la umoja wa vijana.Namsifu Kikwete kwa kufanikisha hilo Dodoma.Ambacho sikuelewa ni Bwana Chenge kuwa mjumbe tena wa kamati ya kuchunguza tuhuma hizo.Mtu huyu anahusishwa na tuhuma nzito mbalimbali za ufisadi.Kwangu mimi haingii akilini inakuaje tena mtu huyo huyo achunguze mafisadi wenzie.Jamani haya mawazo gani, kama sio kutaka kulindana ni nini.Kikwete changamka tusonge mbele,tutaendelea kurudi nyuma mpaka lini?
Hapo ndipo napozidi kuona kua CCM ni wababaishaji........hamna chama apo
Komando Nape kaibuka kidedea katika sakata la mradi wa jengo la umoja wa vijana.Namsifu Kikwete kwa kufanikisha hilo Dodoma.Ambacho sikuelewa ni Bwana Chenge kuwa mjumbe tena wa kamati ya kuchunguza tuhuma hizo.Mtu huyu anahusishwa na tuhuma nzito mbalimbali za ufisadi.Kwangu mimi haingii akilini inakuaje tena mtu huyo huyo achunguze mafisadi wenzie.Jamani haya mawazo gani, kama sio kutaka kulindana ni nini.Kikwete changamka tusonge mbele,tutaendelea kurudi nyuma mpaka lini?[/QUOTE]
MAKAMBA ATAJIBU HIZI:- Jamani tuacheni na chama chetu, haya ni mambo ya kichama, na jengo la UVCCM ni mali ya chama ambayo Chenge ni mwanachama wake.
Kwani nafasi ya Jeshi la POLICE na TAKUKURU iko wapi hapa..
Lakini boss ya wizara ya mambo ya ndani naye ni mjumbe mwenye cheo cha juu UVCCM...kazi kweli kweli..
Tulisha sema hatuna serikali mkabiiiiiiiiiisha weeeeeeeeeeee angalia sasa fisadi anamchunguza fisadi mwenzie sijui inakaaje hapo...........tutasikia kuwa mradi ulifuata taratibu zote za kisheria hapo hawa wanasafishana tu,,,,,,,