The Great Monkey Trial - Kesi ya Mwalimu Kufundisha Evolution

Logikos

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
12,801
19,975
Hii ni Scopes Trail (July 10–21, 1925, Dayton, Tennessee, U.S.); Ambapo Mwalimu wa Shule John T. Scopes alikuwa charged kwa ku-violate Sheria ya State ya kufundisha Evolution....

Case yenyewe inaweza kupatikana hapa:- https://en.wikipedia.org/wiki/Scopes_trial; Lakini ingawa huyu mwalimu alishindwa lakini kwa kupitia Media wadau wa Evolution nao walipata muda wa kuelezea upande wao... Na kwa huu uzi naweza cartoon za kipindi hicho zikionyesha upande wao...

1715088844166.png

1715088888129.png
1715088925728.png
 
Back
Top Bottom