I am 30yrs old, Single & happy, haven't had sex in the last 8 months, I have male friends who are just friends, I have had my own fair share of relationships and i have had sex on my first date and oh if i really like a guy i would definitely flirt with them! So what's your point exactly?!
Hata hii uwe tu unawaambia ukweli, mwanawasu. Kwani kama mtu ameamua kujilipua, idadi ya namba haitamrudisha nyuma. Kwani kusema ukweli shi ngapi bana?.Hiyo ya mwisho wallah hata kama unanishikia mtutu wa AK47 bado nitadanganya tu. Mengine yote huwa nasema ukweli hakika
Make hauna ushahidi... Baaaaaaasiiiiii!!!!
..........Sitajali ameshatembea na wangapi,kuwa nae maishani naona bahati......
Hata hii uwe tu unawaambia ukweli, mwanawasu. Kwani kama mtu ameamua kujilipua, idadi ya namba haitamrudisha nyuma. Kwani kusema ukweli shi ngapi bana?.
Du...Hiyo sasa ni hatari. Kufikisha hiyo namba, hiyo ndio itakuwa ndio taaluma ya huyo mtu!.Kutiki muramu, hivi hata wewe ukiambiwa ni wa 78 utakubali uwe kwenye hiyo list?? frankly speaking?
Hadi jasho lanitoka maana nimedanganya yote hayo. Mmmmh