The 7 Most Common Lies Women Tell In Relationships

I am 30yrs old, Single & happy, haven't had sex in the last 8 months, I have male friends who are just friends, I have had my own fair share of relationships and i have had sex on my first date and oh if i really like a guy i would definitely flirt with them! So what's your point exactly?!
 
Khaa!!! Mie naona huu sasa ni upotezaji wa muda, kwanini uulize vyote hivyo? Kama kakuvutia weka terms zako mezani na yeye aweke zake mkikubaliana mnaanza kuandika historia kuanzia hapo basi. Mbona vitu rahisi mnavifanya kuwa vigumu hivyo,? Mnataka kugundua nini ??
 
I am 30yrs old, Single & happy, haven't had sex in the last 8 months, I have male friends who are just friends, I have had my own fair share of relationships and i have had sex on my first date and oh if i really like a guy i would definitely flirt with them! So what's your point exactly?!

I guess his point would be, there aren't too many of you. I'm assuming you that open even in real life, not just here where we probly have no chance of ever knowing you, Miss Kim.
 
niliwahi kuandika umri kwenye facebook siku nasherehekea siku yangu kuzaliwa. Nilishangaa kuona watu wengi wakinipongeza kwa kutaja umri wangu badala ya kunitakia heri! Sikuona kama ni jambo la ajabu. Ila pia nakumbuka baada ya kupata mtoto kuna miaka miwili nilisahau kufatilia umri wangu.

Mpaka nafikisha miaka 30 mimi kichwani bado nilikuwa na 28 pale nilipokomea wakati najifungua. Sikuwa na sababu ya kudanganya maana hata sasa hivi nikisema nina miaka 25 naweza kuaminika. Baada ya kugundua kuwa nimepata ugonjwa wa kung'ang'ania miaka 28 basi ikawa nikiulizwa umri iwe kwa mdomo au kwenye fomu nachukua sekunde kadhaa za kufanya mahesabu.

Wakati mwingine kwa kuhofia kusema umri ambao siyo nikawa nataja mwaka niliozaliwa, mhusika apige hesabu mwenyewe. Hivyo naamini kuna wanawake wanadanganya umri pasipo nia ya kudanganya. Sijui ni mimi tu nilisahau kuzingatia umri au kuna wenzangu wamewahi kupitia hiyo hali? Na ni kweli ni wanawake tu?
 
Can you honestly tell how many sexual partners did you have!?au ndo uwanaume na uwanamke sasa unapoanza jionesha.....
 
Hiyo ya mwisho wallah hata kama unanishikia mtutu wa AK47 bado nitadanganya tu. Mengine yote huwa nasema ukweli hakika

Make hauna ushahidi... Baaaaaaasiiiiii!!!!
Hata hii uwe tu unawaambia ukweli, mwanawasu. Kwani kama mtu ameamua kujilipua, idadi ya namba haitamrudisha nyuma. Kwani kusema ukweli shi ngapi bana?.
 
Hata hii uwe tu unawaambia ukweli, mwanawasu. Kwani kama mtu ameamua kujilipua, idadi ya namba haitamrudisha nyuma. Kwani kusema ukweli shi ngapi bana?.

Kutiki muramu, hivi hata wewe ukiambiwa ni wa 78 utakubali uwe kwenye hiyo list?? frankly speaking?
 
Back
Top Bottom