Tetesi: TFF kuburuzwa FIFA na Yanga kwa kuahirisha mchezo halali wa ligi bila sababu maalum

MwananchiOG

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
2,131
4,280
Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.

Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika.

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.

Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
 
Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.

Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika. Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.

Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Yanga hawana hata mpango huo, wao wanacho kijua wamefika uwanjani, wapinzani hawakutokea wanachotaka points zao tatu.
 
Huyo jamaa anaitwa Patrick anazidi kuwapoteza.

Hakuna mwanasheria wa namna ile.

Kwanza mkienda tu FIFA mkataja jina la Club yenu FIFA waki search mwenye database zao watakutana na kesi zenu za madai na udhulumishi.

Kufikia hapo mtaonekana ni Club ya wahuni na haifai kusikikizwa madai yake mpaka pale watapomalizana na madeni wanayodaiwa.
 
Hilo doa na lije,waliokamata magari kwa kuyafananisha na TUNGULI Leo wanawaita wenzao wachawi.TOKA MZIZE AFUKUAGE GOLI SIKU ILE YANGA NAWAANGALIA KWA JICHO LA TATU.
 
Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara.

Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za Ligi, sababu pekee zinazoweza kusababisha mchezo kuahirishwa ni kifo cha mchezaji, hali mbaya ya hewa, au sababu kubwa kulingana na itakavyobainika. Nje ya hapo kanuni zinalazimu mchezo kuchezwa kisha kama kuna dosari au changamoto yoyote hatua huchukuliwa baada ya mchezo husika ikiwemo kutozwa faini au wahusika kufungiwa.

Hii italeta doa kubwa katika Ligi ya Tanzania.
Hawana akili hiyo
 
CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".

Great Thinker
.

Leo Tutaona Nyuzi za Simba na Yanga zaidi ya elfu 60 humu jukwaani.

TUKIWAAMBIA KUSHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA MNAANZA KUWA WA PUMBAVU HAMUELEWI
 
Mkijichanganya tu lazima FIFA uchunguzi uanzie mbali kama kuna ishara za rushwa na upangaji wa matokeo. Na wakifikia hapo mjue YangaSC itakuwa imekula kwao kwani haiwezekani mtu mmoja adhamini timu saba zinazocheza ligi moja.
 
Kupeleka kesi FIFA ni matumizi mabaya ya akili.
Yanga hawajawahi kushinda kesi FIFA wala CAF.
Kama yanga imepokea ushauri huo bila shaka itakuwa ni njia ya kujipatia pesa ya mwanasheria kilaza wa timu hiyo.
 
CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".

Great Thinker
.

Leo Tutaona Nyuzi za Simba na Yanga zaidi ya elfu 60 humu jukwaani.

TUKIWAAMBIA KUSHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA MNAANZA KUWA WA PUMBAVU HAMUELEWI
Na serikali hizi timu wanazilinda kweli kweli sababu ndio njia kuu ya kuwapumbaza wabongo , sio Jf mitaani mada Simba na Yanga.

Bila Simba na Yanga raia watakuwa siriazi kwa kiasi kikubwa kupelekea kufuatilia na kuhoji mambo ya Msingi ambayo ni mwiba kwa serikali.
 
Back
Top Bottom