Tembo wanne watinga Chuo Kikuu Dodoma

Wametokea hifadhi gani?
dodoma ni njia ambapo tembo huwa wanakatisha sana. mimi binafsi nimeshakutana nao mara nyingi tu, pembeni kidogo ya mji wa dodoma. tena kwa makundi makubwa tu. hutokea mashariki maeneo ya kilosa morogoro, wanakatisha dom na kuelekea kwenye maeneo ya singida
 
Siku ya Leo katika Chuo kikuu cha udom imetokea taharuki baada ya tembo wanne kuonekana chuoni hapo.

Jambo hili limesababisha akari wa wanyapori kufika chuoni hapo lakini pia walitoa maelezo ya chanzo cha wapi TEMBO HAO WALIPOTOKEA.

SOURCE: ITV TAARIFA YA HABARI
 
Tembo wanne wamekutwa ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa watu.

TANAPA yasema jitihada zinafanyika kuwarudisha hifadhini.

My take: Naona Tembo nao wameanza safari ya kuhamia Dodoma, mpaka 2020 tutarajie wanyama wengi kutoka jamii mbalimbali nao watatinga mji huu mkuu (joke).

----------------------------------------
Habari kutoka Mwanachi Online

TEMBO WATINGA DODOMA

Dodoma ilikuwa mshikemshike leo alfajiri katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya tembo wanne kutinga chuoni hapo.

Watu wamefurika chuoni hapo kuwaangalia lakini polisi wamewazuia kusogea karibu na eneo walipo tembo hao.

Msemaji wa Tanapa, Paschal Shelutete amesema tayari wameshaita askari wa wanyapori kutoka Manyoni kwa ajili kuwaondoa tembo hao.

Shelutete amesema askari hao wanatarajiwa kufika wakati wowote kuanzia sasa.
Huenda wanamtafuta kinana awatibu meno
 
IMG_2208.JPG
IMG_2211.JPG

Nimeattach picha zilizopigwa eneo la tukio!!
 
Karibu kila mwanafunzi wa chuo anatumia smartphone,
chakushangaza eti kumekosekana picha walau picha ya alama ya unyayo wa tembo...!!!
Ngumu kumeza hii
 
Msongamano wa Dar hawauwezi tena ila na Dom utaanza kuwepo tu
 
Tembo wanne wamekutwa ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa watu.

TANAPA yasema jitihada zinafanyika kuwarudisha hifadhini.

My take: Naona Tembo nao wameanza safari ya kuhamia Dodoma, mpaka 2020 tutarajie wanyama wengi kutoka jamii mbalimbali nao watatinga mji huu mkuu (joke).

----------------------------------------
Habari kutoka Mwanachi Online
----------------------------------------

TEMBO WATINGA DODOMA

Dodoma ilikuwa mshikemshike leo alfajiri katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya tembo wanne kutinga chuoni hapo.

Watu wamefurika chuoni hapo kuwaangalia lakini polisi wamewazuia kusogea karibu na eneo walipo tembo hao.

Msemaji wa Tanapa, Paschal Shelutete amesema tayari wameshaita askari wa wanyapori kutoka Manyoni kwa ajili kuwaondoa tembo hao.

Shelutete amesema askari hao wanatarajiwa kufika wakati wowote kuanzia sasa.

Wakifika tuambieni nasi tujue mbinu waliyotumia kuwaondoa, ili siku nyingine tukiwaona tusipate shida kusubiri
 
Tembo wanne wameonekana maeneo ya Nghonghona karibu na chuo kikuu cha UDOM.
Wanafunzi wasusia kuingia madarasani wakiwaogopa tembo hao.

TANAPA wasema hiyo eneo la UDOM ilikua njia ya zamani ya kupitisha wanyama hao na inasemekana Tembo hao wametoka hifadhi za jirani za Mikumi au Ruaha.
 
Back
Top Bottom