Asili ya jina Dodoma inatokana na neno IDODOMYA ambapo tembo waliwahigi kudidimia kwenye matope hivyo historia inairudiaTembo wanne wamekutwa ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa watu.
TANAPA yasema jitihada zinafanyika kuwarudisha hifadhini.
My take: Naona Tembo nao wameanza safari ya kuhamia Dodoma, mpaka 2020 tutarajie wanyama wengi kutoka jamii mbalimbali nao watatinga mji huu mkuu (joke).
----------------------------------------
Habari kutoka Mwanachi Online

TEMBO WATINGA DODOMA
Dodoma ilikuwa mshikemshike leo alfajiri katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya tembo wanne kutinga chuoni hapo.
Watu wamefurika chuoni hapo kuwaangalia lakini polisi wamewazuia kusogea karibu na eneo walipo tembo hao.
Msemaji wa Tanapa, Paschal Shelutete amesema tayari wameshaita askari wa wanyapori kutoka Manyoni kwa ajili kuwaondoa tembo hao.
Shelutete amesema askari hao wanatarajiwa kufika wakati wowote kuanzia sasa.
wanasoma kozi ya kujihami na majangiliWamekuja kusoma tourism and cultural heritage
Mmmh! Nadhani watakuwa wale majamaa wa kabila flani la huko songea hiviiiii!!!!????Tembo wanne wamekutwa ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa watu.
TANAPA yasema jitihada zinafanyika kuwarudisha hifadhini.
My take: Naona Tembo nao wameanza safari ya kuhamia Dodoma, mpaka 2020 tutarajie wanyama wengi kutoka jamii mbalimbali nao watatinga mji huu mkuu (joke).
----------------------------------------
Habari kutoka Mwanachi Online
----------------------------------------
TEMBO WATINGA DODOMA
Dodoma ilikuwa mshikemshike leo alfajiri katika maeneo ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya tembo wanne kutinga chuoni hapo.
Watu wamefurika chuoni hapo kuwaangalia lakini polisi wamewazuia kusogea karibu na eneo walipo tembo hao.
Msemaji wa Tanapa, Paschal Shelutete amesema tayari wameshaita askari wa wanyapori kutoka Manyoni kwa ajili kuwaondoa tembo hao.
Shelutete amesema askari hao wanatarajiwa kufika wakati wowote kuanzia sasa.
khaaaWalienda kuwasalimu tembo wenzao
Vipi kwani kuna tatizo tembo kusalimianakhaaa
Samahani mkuu hyo ni pic yako og, manake nami nataka kuhamia domhabari kama hii ingekuwa na picha ingevutia sana. fanya jitihada alau upate kapicha hata kamoja tu tusafishe macho. na ambao hatuwafahamu tembo tuwajue