Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,464
- 1,858
mkuu sikatai maelezo yako ila kumbuka kuwa kuna siku utapata watt, sijui kama utafurahi kumuona mtt wako anakwenda kulala na jamaa usiku mzima halafu asb anarudi kwako,Tanzania hakuna Maadili..
Ni unafiki/wivu/ulimbukeni/ushamba..
Kama kipindi kinakuboa badili chanel..
Angalieni Ntv..kipindi Tujuane..
think