Sielewi kabisa na huko tuendako tutapteza ile cream ya vijana wa kiume.Nchi yetu kazi tunayo... Coz kuna vitu vingi sana vya kuwafundisha vijana lakini sisi vipindi almost vyote ni mapenzi na mambo ya burudani,
Lini tutaamka kwenye huu usingizi mzito!!??
Mkuu sijakuelewa kabisa hebu fafanua kidogo.Kinatufundisha Siri za Familia
Sawa mkuu ila katafute hata kwa jirani maana maoni yako ni ya muhimu sanaMimi sijawahi kukiangalia na hiyo Chanel sijui iko king'amuzi gani maana natumia Dstv hiyo chanel sina.
Kipo kingine kinaitwa baggage kinaogozwa n jerry springer kinaonyeshwa sony nachopendea iki kila mtu ana kuja n baggage lake lenye siri adimu then mmoja ndo hatachaguliwa kati ya watatuHivyo vipindi wanacopy huko majuu mana kuna channel ya E inaonyesha kipindi kipo kama hiko sema hiko cha majuu kinahusisha watu maarufu kinaitwa famously Single
Hebu weka picha zao tuone kama huo wivu wako unalingana na hali halisi.nimekuwa na dukuduk mda mrefu kuhusu kituo cha tv cha tv1 leo nimeamua niliwasilishe hapa pengine naweza pata ukweli wowote au laa kuna vipindi vingi tv tv1 wamekuw wakihost wanawake ambao ni warembo mda mwingine huwa nasema boss anafaidi lakin kuleta mada hapa nikutak kujua kama bado kuna ule mtindo wa zamani unaendelea kwa kina dada mpaka uvue nyupi ndo uingie ofisini pengine hawa warembo wa tv1 wasije wakaw wamepata mikasa kabla ya kuingia ofisini kama ni bosi mwanamme si rahisi kuwaacha tu bila kuwatamani mana ni warembo haswaa