TCRA, kampuni za Google, Facebook, Whatsapp, Instagram zakwepa kodi ya mabilioni Tanzania

Mzeeee mbna iii kali xana Facebook, whatsapp, na Google walipe koki kwa lipi xaxa akat wao awana ofc nchini tusahau kuhusu ilo :
 
Unapotaka kumlipisha kodi Google wakati huwezi hata kupima matumizi kwa njia ambayobutamtoza fair tax hapo ndipo tatizo litakapoanza.

Huyo Waziri wa Fedha wa India alikuja na kitu deliberate na pointed. Hakusema tu "tutoze kodi Google".

The devil is in the details.

Google nao wanaweza kusema nyie Tanzania katika ramani ya nchi zilizo online hampo. Hatutaki kuwalipa.

Tanzania itafanya nini?
Nasi tutasema Google ni shirika la kijasusi linalofanya ushushu nchini, then tutaifunga
 
Soma principles za taxation. Halafu tofautisha kodi na fee.

Hizo kampuni za ndege zinalipa fee kama ulivyosema. Na unaweza kuzihesabu ndege ngapi zimetua mara ngapi na kwa kila mara ndege inapotua naitoza fee kiasi gani. Na most likely kampuni ya ndege inayotua Tanzania imesajiliwa kwa namna moja ama nyingine Tanzania.

Unapotaka kuitoza kodi Google utaitoza kwa criteria gani?

Google wakisema hatuitambui hiyo kodi na hatulipi utafanya nini?

Umesoma principles of taxation hapo juu?
waki spy taasisi zetu maana information wanazipata bure kupitia brower na mambo mengi ; Je kama mtu katuma information kupitia google na zipo kwenye server yao ; Haturuhusiwi kuwaoji kwa kuwa hawana ofisi Tanzania?????????

kisa sever zipo Afrika kusini?
 
Ikulu ya Kikwete mpaka muda si mrefu uliopita ilikuwa inatumia email ya Google.

Waki spy taasisi zenu hata una utaalamu wa kujua kama wame spy?
 
Kampuni kubwa za Google, Facebook, WhatsApp, Instagram zimekuwa zikifanya kazi bila ya usajili wala kulipa kodi kutokana na uzembe wa mamlaka ya TCRA, aidha kwa makusudi au TCRA kutojua namna ya kuzitoza kodi.

Ukinunua simu unakuta Google ishakuwa installed.

Nchi kama China kutokana na Facebook kukwepa kodi imezuiliwa software yake na shirika la kijasusi kutofanya kazi nchi ya China. Hata ukiwa na simu huwezi pata access ya kuchat kutumia facebook.

Lakini Tanzania haya mashirika makubwa yamekuwa yakijizolea pesa za kumwaga bila ya kusajiliwa.

Ukiangalia TCRA hawana kitengo kama Brella cha kusajili application software ,social networks.
Wameshindwa kutengeneza filter ya kuzuia social networks zisizolipa kodi kuoperate nchini.

Kuliko kuwatoza hawa maskini fedha za kingamuzi naomba wafungue kesi kuzishitaki kampuni hizi kuwa kufanya kazi kinyemela bila kibali cha serikali.

29STEWART-master768.jpg
Mkuu mkiziwekea ban app kama hizi tutarudi nyuma. Smathphone itabaki kupiga na sms tu. Wachina wameweza sababu wanao uwezo wa kutengeza apps zao. Mimi naona utaratibu wa sasa wa kucharge tozo kwanye mitandao ya simu kwa kutumia bando na vocha bado uko poa sababu hata control inakuwa rahisi. App kama ya google si ya kupiga ban kwa sasa mkuu, inasaidia sana. Unless kama unataka turudi kwenye ujima.
 
Africa:Kuvumbua tulishindwa,kusimamia tulishindwa ,tushaletewa pia tuna hamu tushindwe haya fungeni
 
Mkuu mkiziwekea ban app kama hizi tutarudi nyuma. Smathphone itabaki kupiga na sms tu. Wachina wameweza sababu wanao uwezo wa kutengeza apps zao. Mimi naona utaratibu wa sasa wa kucharge tozo kwanye mitandao ya simu kwa kutumia bando na vocha bado uko poa sababu hata control inakuwa rahisi. App kama ya google si ya kupiga ban kwa sasa mkuu, inasaidia sana. Unless kama unataka turudi kwenye ujima.

kwahiyo , Solution ni kutengeneza App yetu! Hii ata ww unaweza tengeneza . Kigumu ni security features
Tunaweza omba msaada china .
Ni rahisi kuicontrol na kutoza kodi .
tuweke spyapp ya kutrack usage. au netmonitor
Net Monitor Software
 
Hapa vigumu vingi kabisa,Data center,app bandwidh host,security control,managment,programmers,marketing
 
Utawatoza kodi kwa sheria gani, minajili gani na ankara gani?

Wakisema hawaitambui kodi utafanya nini?
1.) Tutawatoza kodi kwa sheria ya kodi iliyopo.
2.) Tutawatoza kodi kwa minajili ya kufanya biashara na kujiingizia kipato nchini(kodi ya mapato)
3.) Tutawatoza kodi kwa ankara ya 18% ya mapato waliyoingiza. Kujua ameingiza kiasi gani ni jukumu la TCRA ambao wanakula kodi za watz kujiendesha
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Back
Top Bottom