Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,647
- 127,467
Kuna kampuni ambayo haina ofisi Tanzania, haijasajiliwa Tanzania na inalipa kodi Tanzania?Ndio mkuu. Inaoperate bure apa Tanzania.
Na ishu ya kulipia, na wao kupata faida wanaipata kwy matangazo ya biashara inayotokeaga unavyofungua Facebook ktk computer. Na ndio maana matumizi ya Facebook ktk simu inawapunguzia faida. Wanabaki wanapata faida yao ktk Megabytes za kifurushi.