TANZIA: MwanaJF Slim5 amefiwa na baba yake mzazi

Pole sana kwako na kwa familia yako kwa ujumla...
Mola awape wepesi katika kipindi hiki cha majonzi.
 
Slim5 pole sana kwakuondokewa na nguzo muhimu kwako

Mungu akutie nguvu uyashinde yote. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Back
Top Bottom