TANZIA: MwanaJF Slim5 amefiwa na baba yake mzazi

R.I.P mzee wetu, poleni wanafamilia, pole S.5, MUNGU WA MBINGUNI akupe nguvu, ujasiri na uvumilivu kwa kipindi chote cha majonzi; "BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA"
 
Pole sana mkuu kwa msiba mzito wa kumpoteza baba Mungu baba akupe ustahimilivu nyakati ngumu mnapitia
 
Back
Top Bottom