Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,715
- 729,889
Sahihi kabisaMarlow na Besta
Sahihi kabisaMarlow na Besta
Ndio tunavyokwenda hivyo almradi tunaelewana badala ya national anthem mtu anakwambia national song tunaenda tu.Musicians who are most private ni nini? Kizungu hiki Malkia anaweza kulia.
ahahhahahahha nimependa ulivyo tofautisha wanamuziki na wasaniiKama ni wanamuziki tu basi sina budi kuwataja wafuatao: Ally Choki, Shaaban Dede, Uncle Bitchuka, Mze Wa Dodo (Hussein Jumbe), Abdallah Mgonahazeru, Christian Bella, Nyoshi, Patcho Mwamba, n.k.
Kwa wasanii: Rich Mavoko, Ben Pol, Barnaba Boy, Amini