Tanzanian musicians who are the most private

Kama umezunguuka vile ..........hebu lete lengo lako. Lakini kumbuka kama alivyosema screpa bila pesa hakuna privancy,na hata hao unaowaona "hawana siri" pengine ni vile wana pesa,bila yakuwa na pesa usingewajua.
Agness masogange Ana pesa gani na gig money naona unamtetea mpenda kiki mwenzako
 
Kwani hzo pics si wanapost wambea wa insta Kama we we umeona lni kapost ye mwenyewe kwenye official accout
images
 
Agness masogange Ana pesa gani na gig money naona unamtetea mpenda kiki mwenzako
Huyu mbona hajishaui yeye anasema live amfiche nani .....maisha yenyewe mafupi watasema kisha watalala.
upload_2016-7-15_0-1-10.jpeg
upload_2016-7-15_0-1-43.jpeg
 
Back
Top Bottom