Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,503
- 123,235
Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi.
Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia.
Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi, tayari zimeshaanza kuangaziwa na vyombo vya habari vya kimataifa.
View: https://youtu.be/XhtQ6ncUCEo?si=S8Px6mlI4KaKqsJe